Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Shida ndio huanzia hapoHizo pumbu unaanzaje kupiga wakat ukimuona tu dushe linakuwa kama utambi hakuna hisia kabisa kutokana na stress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ndio huanzia hapoHizo pumbu unaanzaje kupiga wakat ukimuona tu dushe linakuwa kama utambi hakuna hisia kabisa kutokana na stress.
Hakuna mke wa kukufanyia timbwili hotelini Kaka, kwanza ataanzia wapi?Huko huko anakuanzishia mnaishia kupigana unalala polisi. Humjui mke kisirani wewe. Anakutupia na sahani ya msosi.
Na lilidumu dk ngapi?Mara ya mwisho kufanya tendo ilikua lini?
Babu huyoooInaonekana huyo Mke humkazi sawasawa;
Iwapo Mke hakazwi sawasawa anakuwa ni mtu mwenye hasira mara kwa mara.
Hakikisha unamkaza na unamfikisha Kibo 🙌
Tenga muda wa kuwa naye.
Kuna wakati Mke anahitaji muda wako japo akusimulie mambo yake ya Mchana kutwa......
Mtafutie shughuli za kumfanya busy..........mfungulie kibanda awe anauza hata Mchele na maharage
Hakikisha weekend unamtoa out mkale hata Mihogo ya Coco beach pamoja
Usisahau kumkaza ili kumuondolea sumu mwilini Mwake
Labda awe Hana tumbo kubwa Ila km ana kitambi atamsifia uongoHakuna mke wa kukufanyia timbwili hotelini Kaka, kwanza ataanzia wapi?
Imagine umemwambia ajiandae Kwa mtoko wa usiku
Baada ya masaa mawili ya kujiandaa mnaita Uber/bolt inawapeleka Samakisamaki ambapo mnaagiza chakula/Vinywaji huku unamsifia jinsi alivyopendeza
Mnatoka mnacheza mziki kidogo
Ataanzia wapi kaka
Wewe umeoa? . Usidhani umeyapatia maisha achana na mwanamkeHakuna mke wa kukufanyia timbwili hotelini Kaka, kwanza ataanzia wapi?
Imagine umemwambia ajiandae Kwa mtoko wa usiku
Baada ya masaa mawili ya kujiandaa mnaita Uber/bolt inawapeleka Samakisamaki ambapo mnaagiza chakula/Vinywaji huku unamsifia jinsi alivyopendeza
Mnatoka mnacheza mziki kidogo
Ataanzia wapi kaka
Haumkidhi hamu zake ndio maana. Mara ya mwisho ni lini alifika kileleni?Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Kupitia andiko langu nimegundua yafuatayo ;Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kweli ni awamu ya kike....[emoji81]
1. Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008.
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana.
baada ya kupoteza miaka 16 kwenye ndoa, ndio unafikiria kuanza upyaaaa...!!!2. Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
basi ndoa za siku hizi wengi hawana uanaume..!!!Ndoa ni ya Me wenye uanaume tu na Ke wema wala si Wavulana, zingatia "uanaume".