Ndoa hizi zitatuua jamani!

Ushauri:
Usiongeze mtoto, na kwepa kabisa mimba ingine, huyo mmoja unaweza mbeba mgongoni ukaendelea na maisha yako, Mimi sina ushauri, huyo hata week siwezi kaa naye.
 
Hyo changamoto , huyo ni mtegeshea siku moja una muawasha makofi
 
Tendo la ndoa unafanya kikamilifu lakini au tia maji tia maji? Mpige pipe vizuri kama wiki mfululizo alafu uone mabadiliko
 
Wewe umeoa? . Usidhani umeyapatia maisha achana na mwanamke
Nimeoa Mkuu

Huu ni Mwaka wa 10+ tupo pamoja

Ni kweli Wanawake hawatabiriki(Wana visirani) lakini kama Kuna nafasi ya kumfanya afurahi Mpenzi wako mfanye afurahi

Nyumba yenye amani ni nyumba ambayo Kitanda cha Wazazi kinatikisika wakati wa usiku πŸ€—
 
Labda awe Hana tumbo kubwa Ila km ana kitambi atamsifia uongo
Hujawahi kusikia ulipenda chongo huita kengeza πŸ˜…πŸ™Œ

Kama mwenza ana Kitambi msifie hivyo hivyo kwamba unapenda Kitambi chake hasa akiwa anatembea utasema tumbo la kangaroo 😜

Wanawake wanapenda hata sifa za uongo, we mpe tu πŸ€—
 
Sawa kama huchepuki sana tuishie hapo
 
Hongera. Kinatikisikaje wakati ukiwa kazini anatikiswa ukirudi mara kiuno, mgongo, matiti yanauma, huko hakufai kwa sasa?.
 
Usiogope.
Kama unataka amani, akija juu wewe jishushe.
Apologize for no reason
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tumewastukia kwamba mnatusifia uongoo
 
je kitandani unampa huduma sawasawa?
 
"Tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga, ukishindwa kujiongoza ujue mwenyewe tu ulipenda" bro hupendi kelele huku unachepuka tena ukisema si sana, kuchepuka ni kule kule tu. Je ukiacha tabia hiyo je uwa kuna shida ingine inayosababisha mkeo kukupigia kelele nyumbani kama hakuna means unakuja kuomba msaada kwa jambo ambalo unalijua kama mdau alivyosema kwamba umeishi nae tangu 2008 kwa maana kwamba unamjua vizuri mkeo embu kuwa serious kuna watu wapo serious wanashida na ndoa zao bro embu sort it out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…