Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Shida inaanzia hapo. Kukariri mke mmoja
Usichelewe hadi uzeeni utajuta. Uza mgawane utakuja kunishukuru.
Siku akikutamkia kuuza mwambie atafute dalali au wanunuaji. Akichelewa mwambie wewe umepata wa kununua.
Pia kama msimbe analipa unaonaje ukafanya kweli ili tuhuma zake ziwe na ukweli. Utachagua mwenyewe
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .