Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.

- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima.

- Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia.

- Pale tu waliopo ruhusu mwanamke asome kwa level ya juu sana ndipo ndoa ilijifia.

- Pale tu walipo ruhusu mwanaume atoke na mwanamke atoke kwenda kwenye mahangaiko na kuacha mfanyakazi ndipo ndoa ilijifia.

Mwisho: Siku hizi hakuna ndoa ila kuna maigizo ya baba na mama, mume na mke.
 
Umenikumbusha kisa cha ndugu yangu mmoja aliyeishi na mkewe kwenye ndoa ya miaka 20, akafunguwa biashara na kumuweka mkewe hapo Kariakoo, ndiyo kikawa chanzo cha matatizo ya ndoa yao.

Ni kisa kirefu kiasi, kwa ufupi wakastahamiliana kwa takriban miaka 10 mingine lakini kila biashara ilivyokuwa mwanamme akazidi kutengwa kwenye biashara mwisho ndoa ikavunjika kimya kimya.

Hiki kisa kinamhusu mpaka aliyekuwa waziri, Fatma Saidi Ali, aliwekeza na huyo mama , sasa hivi marehemu. Akikisoma humu ataelewa na atanielewa.

Hakika fitna za dunia ni mali, wake na watoto.
 
Back
Top Bottom