Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.

- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima.

- Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia.

- Pale tu waliopo ruhusu mwanamke asome kwa level ya juu sana ndipo ndoa ilijifia.

- Pale tu walipo ruhusu mwanaume atoke na mwanamke atoke kwenda kwenye mahangaiko na kuacha mfanyakazi ndipo ndoa ilijifia.

Mwisho: Siku hizi hakuna ndoa ila kuna maigizo ya baba na mama, mume na mke.
Kwenye ndoa hakuna usawa.
Usawa NI Kati ya mwanaume na mwanamke na msichana na Mvulana.Kati ya mume na mke hakuna usawa
 
Mheshimiwa mjumbe....
Kwanza minaona bora waendelee kukataa ndoa, maana hata vumbi walilokua wanategemea halipatikani tena..🤣
Mheshimiwa mjumbe....
Kwanza minaona bora waendelee kukataa ndoa, maana hata vumbi walilokua wanategemea halipatikani tena..🤣
Wanawake wenyewe wa kuoa wako wapi?
Ukisema huyu katulia, unakuja kugundua ni mjinga tu hana la maana.
 
Mheshimiwa mjumbe....
Kwanza minaona bora waendelee kukataa ndoa, maana hata vumbi walilokua wanategemea halipatikani tena..[emoji1787]
Ndugu mjumbe mi naona u organise timu itayopambana na waenezi wa falsafa ya kataa ndoa
 
Mheshimiwa mjumbe....
Kwanza minaona bora waendelee kukataa ndoa, maana hata vumbi walilokua wanategemea halipatikani tena..[emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] vumbi gani ndugu mjumbe
 
KATAA NDOA
NDOA NI KIFO
NDOA NI TAASIS YA KIZAMANI
 
Mkuki kwa nguruwe mtamu ,kwa binadamu mchungu , vuta picha ni binti yako apigwe pin kwenye yote hayo , asee bora hizo ndoa zijifie tu.
 
Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.

- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima.

- Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia.

- Pale tu waliopo ruhusu mwanamke asome kwa level ya juu sana ndipo ndoa ilijifia.

- Pale tu walipo ruhusu mwanaume atoke na mwanamke atoke kwenda kwenye mahangaiko na kuacha mfanyakazi ndipo ndoa ilijifia.

Mwisho: Siku hizi hakuna ndoa ila kuna maigizo ya baba na mama, mume na mke.
Ukweli mchungu usiyo na tiba kwa karne hii .....
 
Kutokana dini ya waislamu kuwa na migogoro mingi wakaanzisha mahakama ya kadhi. Kwanini wasiwe wanamuomba Allah tu mpaka wakaanzisha mahakama ya kadhi?
Unamuona Nakaya na Jay dee tu? Wapo wengi
Mbona hapa wavaa kobazi wengi tu wanaachana licha ya kuvaa mavazi ya majini.
Diamond na Alikiba ndoa zimewashinda licha ya kuimba mapenzi na kujenga msikiti. Mpe salamu Dr. Mwaka na Manara
Zuchu anavaa nguo za nusu uchi. Naye siyo mvaa kobazi?
Shida yenu nyie wavaa kobazi huwa mnajiona nyie ni wema sana kuliko watu wengine.
Ukienda Libya, kuna misikiti mingi sana, wanavaa nguo za majini, salamu ya majini muda wote na karibia wote ni waislamu kwa 99% ila walichinjana kama kuku mpaka Gadhafi walimuua kwa kumburuza kwenye lami halafu baada ya hapo wanaingia msikitini kuswali
Mpe salamu mvaa kobazi mwenzako, mume wa zamaradi. Waislamu ndiyo wanaongoza kwa wasomi kama mume wa zamaradi. Karibu kwenye ulisi wa zamaladi😁😁
Naona unaongea tu kwa chuki unaongeal ,The most successful artists wenye mashabiki wakubwa na wajanja hapa bongo.

Wewe kumbe unaamini majini yapo😅?

Mbona wanaotolewa majini kila siku ni wakristo wenyewe mnaita mapepo.!!
 
Back
Top Bottom