Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Kwenye ndoa hakuna usawa.Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.
- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima.
- Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia.
- Pale tu waliopo ruhusu mwanamke asome kwa level ya juu sana ndipo ndoa ilijifia.
- Pale tu walipo ruhusu mwanaume atoke na mwanamke atoke kwenda kwenye mahangaiko na kuacha mfanyakazi ndipo ndoa ilijifia.
Mwisho: Siku hizi hakuna ndoa ila kuna maigizo ya baba na mama, mume na mke.
Usawa NI Kati ya mwanaume na mwanamke na msichana na Mvulana.Kati ya mume na mke hakuna usawa