Ndoa ilimpa kilema cha maisha binti

mwisho sijauelewa,ina maana mtoto wake nq mahamood ndo akamsahau kabisa
 
Mwachiluwi Mwachiluwi. Hii ni moja stori inayoonesha aina ya mdada asiyena Maringo....hujaonesha hata sehem moja ukuu au makuu kweli kuna binadam wamejaaliwa yaani unahekima wewe dada Mwachiluwi

Huna shule ila unashule ya ulimwengu...

nasoma stori nyingi za kweli tena za kichawi....hii inaonesha bora uishi na umaskini wako kwa amani kuliko utajiri unaokera......

Hii stori inasisimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…