“Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

“Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

Katika kupitq pitq oficin Nimekutana na story ya lecturer moja alikua anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita.

Sasa ile naingia ofc nikakuta mateacher wanaongea kua ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikua ni down low….. Mwanamke yakamshinda

SASA sijaelewa hili neno linamaana gan
Mwanamme kua mmbeya sio kitu kizuri kma jambo halikuhusu achana nalo
 
DL aka Down Low ni mwamaume bisexual ambaye huwa na mahusiano na mwanamke lakini kisiri hupenda kufanya mapenzi na mwanaume mwezake.
 
Sometimes wanawaita "STRAIGHT"
mkuu unachanganya madesa,

"Straight" anakuwa hana izo mambo za kishoga yaani unakuwa unavutiwa kimapenzi na jinsia tofauti na yake.


"straight" is often used to mean "heterosexual." It can also mean "heteroromantic." Heterosexual means you're sexually attracted to the opposite sex only
 
Back
Top Bottom