Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
True that, DL atajionyesha yeye ni straight kwenye kujionyesha hapo atatafuta views atavimba na pisi kali watu wamuone wengine wanaoa kabisa kama mume wa lecture.Em semenii kweliii? Woiiiiiiih
DL kwenye jamii atataka atambulike kama gent ila kuiharisia anavutiwa na mahusiano ya jinsia moja na ndo maisha yake ya siri.
kufupi Down Low ni mashoga ambao wanapenda ushoga ila hawataki kupeperusha bendela ya upinde.