“Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

Mwanamme kua mmbeya sio kitu kizuri kma jambo halikuhusu achana nalo
 
DL aka Down Low ni mwamaume bisexual ambaye huwa na mahusiano na mwanamke lakini kisiri hupenda kufanya mapenzi na mwanaume mwezake.
 
Sometimes wanawaita "STRAIGHT"
mkuu unachanganya madesa,

"Straight" anakuwa hana izo mambo za kishoga yaani unakuwa unavutiwa kimapenzi na jinsia tofauti na yake.


"straight" is often used to mean "heterosexual." It can also mean "heteroromantic." Heterosexual means you're sexually attracted to the opposite sex only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…