“Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

Em semenii kweliii? Woiiiiiiih
True that, DL atajionyesha yeye ni straight kwenye kujionyesha hapo atatafuta views atavimba na pisi kali watu wamuone wengine wanaoa kabisa kama mume wa lecture.

DL kwenye jamii atataka atambulike kama gent ila kuiharisia anavutiwa na mahusiano ya jinsia moja na ndo maisha yake ya siri.

kufupi Down Low ni mashoga ambao wanapenda ushoga ila hawataki kupeperusha bendela ya upinde.
 
Ko DL ni mashoga wasiojikubaliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Down Low ni mwanaume ambaye ni bisexual ambaye hufanya mapenzi na jinsia zote , ya kike na kiume , ila ile ya kiume hufanya kwa siri sana. Ikumbukwe kuna homosexual na bisexual.
Homosexual anaweza kuwa msiri na anaweza kuwa na mke wa kuzugia , ila utakuta hamfanyi chochote huyo mke na huishi kama mke na mime kwa mke kuamini mume ana tatizo la nguvu za kiume.
Bisexual yeye huweza kuwa na mwanamke kufanya yote kama mume anavyo paswa kufanya na kumridhishs mwanamke kingono , tena huwa wazuri sana kitandani lakini kisiri anakuwa na matamanio na kushiriki tendo na mwanaume mwenzake kisiri sana na lea vile ni waxuri vitandani ndi hukuta mkeee sliambiwa mumeo ni shoga au ana gonga wanaume hukataa kabisa sababu ya sex anay pata toka kwa mumewe
 
Eeh kweli Dunia tambala bovu
 
Tatizo la hormones
 
Atakua nayy alikua bi sasa
 
hawa tofauti na cocastic
 
Kuna movie moja ya tyler perry niliiona siku nyingi sana ilikua na kisa cha mwanaume kuwa na familia na mtoto ilihali anawafanya mashoga
 
Ulivyoambiwa kuwa uyaone..ulidhani magorofa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…