kuachwa huku sijui nani atanitungia tena mashairi
matamu kama yako!!!!!!!!!
Heaven on earth vipi tena my wii? Umeshindwa kukituliza, usintie aibu bwana?
Usiache mbachao kwa msala upitao ujue.........
hebu rudi kwamumeo banaa, Himidini best yangu hebu twende tukambebe huyu mwanamwali tumpeleke kwa mumewe
Aaaaa wapi!
lakini mi naona shost yangu
bado anakuhitaji,msamehe bana!!
Kumbe!uli niquote vibaya UNDENIABLE mpenzi
Tusisingizie pepo jamani kwa hili!pepo la talaka limeanza kazi yake..
Alaaaa! Usipobadili tabia siamini kama kuna ndoa yako itakayodumu kwa dk moja!jamani jamani mwambie UNDENIABLE niko hoi bin
taaban juu yake.........,
sa ye anapenda kuinterprate mambo kivingine!!!!
^^
Shemeji roho imeuma
Nilikuonya mapema
Kinywa sawa jumba
Maneno yakitamkwa
Hayarudishwi mama
UNDENIABLE alikupenda,
Lakini si unajua tena
Mtu ukijua unapendwa
Kakangu amelia sana,
Namuombea mola,
Ayashinde mapito pia,
Wakale walisema,
Chozi la mwanaume,
Ni mkosi kwa mke,
Jihadhari usiwe ndege,
Arukae tawi hili na lile,
Yamenigusa sana ee,
^^
Ulipendwa sana lakini hukujali! embu nipe mfano mmoja tu wa shemeji yeyote anaeimbiwa mashairi mazuri mazuri kama wewe!kuachwa huku sijui nani atanitungia tena mashairi
matamu kama yako!!!!!!!!!
mm sikuhitaji kabisaaaaaaa! mbaya zaidi najuta kwann sikukutana na shetani mkatili live kuliko kukutana na kiumbe kama wewe! just imagine!jamani UNDENIABLE mi mwenzio bado nakuhitaji!!!!
Heaven on earth vipi tena my wii? Umeshindwa kukituliza, usintie aibu bwana?
Usiache mbachao kwa msala upitao ujue.........
hebu rudi kwamumeo banaa, Himidini best yangu hebu twende tukambebe huyu mwanamwali tumpeleke kwa mumewe
Makubwa.. Heaven on earth u rafiki mwema kwangu njoo tutete jambo
hili ni pepo,maombi yanahitajika!!!!!!
Salaam!
Naandika kwa uchungu mkubwa sana, ila lazima niamue kweli yenyewe, decision must be made!
Kwanza natanguliza shukrani zangu zote kwake Heaven on earth kwa kunilea, kunipa hifadhi stahiki, kunijengeka na mengine mengi mazuri aliyoyafanya kwa ajili yangu, namshukuru sana Heaven on earth na nakupenda sana!
Maumivu ya kuachana na mpendwa wangu ni makubwa kiasi kwamba najiona kama ufahamu umenitoka vile! Nipo katika wakati mgumu sana, lakini ni muhimu kufanya maamuzi kwa ajili ya kujenga kesho bora! Naumia sana mwili na roho!
Ni jana tu nilikuwa nahangaika kumsaka mpendwa wangu wa moyoni Heaven on earth,niliweka rehani vitu vya thamani kubwa kwa ajili yake na hv leo ameibuka popote alipokuwa na kukiri kwa kinywa chake kuwa alikuwa amefichwa sehemu kwa ajili ya vunja jungu, na kwa kadhia hii nalazimika kumuweka huru maana nimeshindwa kuhimili mishemishe zake! Naomba pia kutumia nafasi hii kushukuru sana vyombo vyangu vya usalama wangu binafsi na washauri wangu wa masuala ya mahusiano kwa kunisaidia kupata taarifa zingine nyeti ambazo kwa heshima yake Heaven on earth nisingependa kuweka hadharani!
Popote uendako nakutakia kila lililo jema!
Nawashukuruni wote!
Wenu UNDENIABLE
Nakala hii imfikie shemeji yake mkubwa Himidini!
Nipo tayari kumpa nauli aende huko kwa Kaizer! Na Kaizer nitampa zawadi kubwa kwa kumchukua huyu bibie!UNDENIABLE ukisema wa nini Kaizer anasema nitampata lini.
heeee,
yamekuwa hayo,
wenzio wakitoa talaka
tunabaki na kauhusiano walau ka kusalimiana UNDENIABLE una hasira sana, siyo nzuri hivyo.
Umeona eeehhh!
Heaven on earth vipi tena my wii? Umeshindwa kukituliza, usintie aibu bwana?
Usiache mbachao kwa msala upitao ujue.........
hebu rudi kwamumeo banaa, Himidini best yangu hebu twende tukambebe huyu mwanamwali tumpeleke kwa mumewe