Ndoa imevunjika! Popote ulipo heaven on earth pata hii taarifa!

Ndoa imevunjika! Popote ulipo heaven on earth pata hii taarifa!

Heaven on earth vipi tena my wii? Umeshindwa kukituliza, usintie aibu bwana?

Usiache mbachao kwa msala upitao ujue.........
hebu rudi kwamumeo banaa, Himidini best yangu hebu twende tukambebe huyu mwanamwali tumpeleke kwa mumewe
 
Last edited by a moderator:

^^
Best ungeona chozi na siri aliyoniambia UNDENIABLE hakika huyu shemeji alikusudia kulala nje
^^
 
Last edited by a moderator:

lakini mi naona shost yangu
bado anakuhitaji,msamehe bana!!
Aaaaa wapi!
uli niquote vibaya UNDENIABLE mpenzi
Kumbe!
pepo la talaka limeanza kazi yake..
Tusisingizie pepo jamani kwa hili!
jamani jamani mwambie UNDENIABLE niko hoi bin
taaban juu yake.........,
sa ye anapenda kuinterprate mambo kivingine!!!!
Alaaaa! Usipobadili tabia siamini kama kuna ndoa yako itakayodumu kwa dk moja!

^^
Shemeji roho imeuma
Nilikuonya mapema
Kinywa sawa jumba
Maneno yakitamkwa
Hayarudishwi mama
UNDENIABLE alikupenda,
Lakini si unajua tena
Mtu ukijua unapendwa
Kakangu amelia sana,
Namuombea mola,
Ayashinde mapito pia,
Wakale walisema,
Chozi la mwanaume,
Ni mkosi kwa mke,
Jihadhari usiwe ndege,
Arukae tawi hili na lile,
Yamenigusa sana ee,
^^

Chozi la mme kwa mke ni laana! mkuu wewe ni zaidi ya unavyojijua! big up kwa busara zako!
kuachwa huku sijui nani atanitungia tena mashairi
matamu kama yako!!!!!!!!!
Ulipendwa sana lakini hukujali! embu nipe mfano mmoja tu wa shemeji yeyote anaeimbiwa mashairi mazuri mazuri kama wewe!
jamani UNDENIABLE mi mwenzio bado nakuhitaji!!!!
mm sikuhitaji kabisaaaaaaa! mbaya zaidi najuta kwann sikukutana na shetani mkatili live kuliko kukutana na kiumbe kama wewe! just imagine!
 
Heaven on earth vipi tena my wii? Umeshindwa kukituliza, usintie aibu bwana?

Usiache mbachao kwa msala upitao ujue.........
hebu rudi kwamumeo banaa, Himidini best yangu hebu twende tukambebe huyu mwanamwali tumpeleke kwa mumewe

Kikojoleo chake kinamwasha sana hawezi kukituliza huyu bibie! aibu tayari kakutia Lady doctor! pole sana!
 
Last edited by a moderator:
UNDENIABLE ukisema wa nini Kaizer anasema nitampata lini.
Salaam!

Naandika kwa uchungu mkubwa sana, ila lazima niamue kweli yenyewe, decision must be made!

Kwanza natanguliza shukrani zangu zote kwake Heaven on earth kwa kunilea, kunipa hifadhi stahiki, kunijengeka na mengine mengi mazuri aliyoyafanya kwa ajili yangu, namshukuru sana Heaven on earth na nakupenda sana!

Maumivu ya kuachana na mpendwa wangu ni makubwa kiasi kwamba najiona kama ufahamu umenitoka vile! Nipo katika wakati mgumu sana, lakini ni muhimu kufanya maamuzi kwa ajili ya kujenga kesho bora! Naumia sana mwili na roho!

Ni jana tu nilikuwa nahangaika kumsaka mpendwa wangu wa moyoni Heaven on earth,niliweka rehani vitu vya thamani kubwa kwa ajili yake na hv leo ameibuka popote alipokuwa na kukiri kwa kinywa chake kuwa alikuwa amefichwa sehemu kwa ajili ya vunja jungu, na kwa kadhia hii nalazimika kumuweka huru maana nimeshindwa kuhimili mishemishe zake! Naomba pia kutumia nafasi hii kushukuru sana vyombo vyangu vya usalama wangu binafsi na washauri wangu wa masuala ya mahusiano kwa kunisaidia kupata taarifa zingine nyeti ambazo kwa heshima yake Heaven on earth nisingependa kuweka hadharani!

Popote uendako nakutakia kila lililo jema!

Nawashukuruni wote!

Wenu UNDENIABLE

Nakala hii imfikie shemeji yake mkubwa Himidini!
 
Last edited by a moderator:
Heaven on earth vipi tena my wii? Umeshindwa kukituliza, usintie aibu bwana?

Usiache mbachao kwa msala upitao ujue.........
hebu rudi kwamumeo banaa, Himidini best yangu hebu twende tukambebe huyu mwanamwali tumpeleke kwa mumewe

yaani huyu mume hanitaki,ngoja niwage single lady tu
nimuunge tela Mamndenyi

tunza ndoa yako na Arushaone tu my wii,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom