Haaaaa
Heaven on earth itabidi unitafute nikupe namna ya
kuweza kumudu nyakati ngumu kama hizi za talaka.
Umeona eeehhh!
jamani mbona mie sijafanya hiko kitu!!!!!1^^
Mbona wengi sana tena sana!
Haijanipendeza ulichofanya.
^^
maneno yalikuwa makali sana!!!!!
maneno yalikuwa makali sana!!!!!
Heaven on earth sidhani wala kama yalikuwa makali kihivyo ila yale ya kawaida tena mwishoni imeandikwa in case of any negotiation we may rescind this decision so asiwe na wasiwasi tunaweza jikuta tunerudi back to square one
poa tu,
acha nitulie na maisha haya kwanza.
kwani kuna talaka yenye maneno matamu,
hiyo sikutaki inarudiwa hata mara kumi,
unaleta utani na talaka weye, shauri zako.
Heaven on earth sidhani wala kama yalikuwa makali kihivyo ila yale ya kawaida tena mwishoni imeandikwa in case of any negotiation we may rescind this decision so asiwe na wasiwasi tunaweza jikuta tunerudi back to square one
^^
Mr Rocky mie ndo kwanza nimepata ma queen,,huku unataka kunipeleka wapi? Teh teh.. Mamndenyi na Heaven on earth wameamua kukaa bench for a while.
Cc pa moto
^^