Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Mpaka sasa sijaona msaada wowote wa kisheria aliopewa mtoa mada zaidi ya masononeko na masimango, kaleta mada jukwaa la sheria ina maana hakuna wanasheria humu ndani?
 
Mpaka sasa sijaona msaada wowote wa kisheria aliopewa mtoa mada zaidi ya masononeko na masimango, kaleta mada jukwaa la sheria ina maana hakuna wanasheria humu ndani?
Hakuna msaada wa kisheria unaopatikana zaidi ya kusaidiwa kuandika talaka na kugawanya mali.
 
Nilimchagua mwenyew sikuwah kuchanguliwa,,amenikuta na ajila yangu na yy akiwa hana ajira au ishu yoyote,,namhudumia kila kitu
 
Sasa kunbe unaelekea kwenye ukweli
Kaa na mkeo
 
Asante saaaana ndugu!!
 
Mpaka sasa sijaona msaada wowote wa kisheria aliopewa mtoa mada zaidi ya masononeko na masimango, kaleta mada jukwaa la sheria ina maana hakuna wanasheria humu ndani?
Sheria ya nini???. Tunamshauri abaki na mke wake
 
Tatizo mama mkwe wanakuwa na wivu mbayaa
 
Asante saaana dada,,,wanaume tuna udhaifu wetu,,anapojiapiza kwamba atanikomoa nawaza saaana amejipanga kwa njia gan??
 
Masikini [emoji24]

Umeona mambo kama haya sasa
 
Mkuu haya mambo ya migogoro ya ndoa Ninayoyashuhudia kwa marafiki hayanipi hamu kabisa ya kuoa...but ikitokea nimeoa mke wangu akaniambia kauli Kama ulivoambiwa..." Mama yako ni mke mwenza wangu" sijui sijui kitakachotokea.............
Hapa nilipo nachat na mke wa mtu na anataka nimuoe mm jaman nimedata , anataka aache mme wake kwa ajili yangu . Na hatujawah hata kunjunjana . I need advce plz. Na juz mmewe kafuma simu ya mke wake akijibebishe kwangu. .
 
Nakuona taratibu unaanza kuleta hoja za "Udini". Tz tunakwama wapi? Ishu za Udini za nini sasa?
Kuna chembechembe za dini yako hiyo unataka kuzipandikiza taratibu, so sadly for sure!!!
Yaaan mwenyewe nimekaa nikamshangaa[emoji849]

Udini udini hata vitu visivyohusiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…