mwambyetete
Senior Member
- May 17, 2018
- 132
- 202
- Thread starter
-
- #101
Naamin hana nia mbaya ila hata akimchukua itakuwa afadhali kwanguNamba ya sim ya mke ya kazi gani?
Hasira tu hizo. Hebu mpende mkeo kwa vitendo. Wewe mwenyewe utaona atabadilika na kukutii kama mmewe. Enyi waume wapendeni wake zenu. Enyi wake watiini waume zenu. Wakolosai 3:18-19.Asante saaana dada,,,wanaume tuna udhaifu wetu,,anapojiapiza kwamba atanikomoa nawaza saaana amejipanga kwa njia gan??
Asante kwa kuliona hiloMpaka sasa sijaona msaada wowote wa kisheria aliopewa mtoa mada zaidi ya masononeko na masimango, kaleta mada jukwaa la sheria ina maana hakuna wanasheria humu ndani?
Hayo ni nawazo yake aliyotaka tumpe ushauri.Tusivunje ndoaSi amesema mke hamtaki na ameapa kumfanyia jambo baya, sasa vipi ulazimishe abaki nae.
NdioMkeo ni mama wa nyumbani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tumejua chanzo[emoji114][emoji114]Suala la mchepuko n kweli nnao lakin hakufanya nishindwe kutimiza majukumu yangu,pia mm kuwa na mchepuko kulichangizwa na yy (sijitetei) akawa hanifulii nguo ,hanipikii kabisa unadhan ningefanyaje?
Ndio mkuuDear Diana. Huyo kwenye picha ndio wewe?
Huwezi jua hapo alipo anakutana na changamoto gani.Ndio
Asante,,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!! Kasome kumbukumbu la torati 24:1-5,mathayo 5:31Hasira tu hizo. Hebu mpende mkeo kwa vitendo. Wewe mwenyewe utaona atabadilika na kukutii kama mmewe. Enyi waume wapendeni wake zenu. Enyi wake watiini waume zenu. Wakolosai 3:18-19.
Mtafutie kitu afanye awe busy,aache kuwaza ujinga wa kupeleka umbea kwa wazazi wake. Mfungulie hata biashara. Awe anawaza jinsi ya kukuza mtaji.Ndio
Mkuu Sasa ushauri gani hapo, we piga tuHapa nilipo nachat na mke wa mtu na anataka nimuoe mm jaman nimedata , anataka aache mme wake kwa ajili yangu . Na hatujawah hata kunjunjana . I need advce plz. Na juz mmewe kafuma simu ya mke wake akijibebishe kwangu. .
Ok nilikuwa najaribu kutengeneza,naona ulishatengeneza mind yako. Basi nenda mahakamani ili ukamwache. Watoto kwa kuwa ni wadogo yeye ndo atakaa nao. Wewe utaambiwa uwe unapeleka matumizi kiasi gani kama childsupport. Bonne continuation.Asante,,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!! Kasome kumbukumbu la torati 24:1-5,mathayo 5:31
Niliwahi kufanya hivo nilimfungulia biashara kwa mtaji wa m 3 ndan ya wiki kulikuwa na hasara ya laki nane bila ya kuibiwa au kutapeliwa!! Nikaja pata taarifa kuwa aliwapa wazaz wake bila makubaliano,,nikaifunga biashara kabisa na kuifilisiMtafutie kitu afanye awe busy,aache kuwaza ujinga wa kupeleka umbea kwa wazazi wake. Mfungulie hata biashara. Awe anawaza jinsi ya kukuza mtaji.
Mpe talaka tu basi. Msije ishia kupigana vitu vizito vichwani bure. Watoto watakua tu. Ondoa hofu kuwa kule kwa mama yao watateseka. Ukiona wanateseka unakwenda mahakamani na vidhibitisho na utapewa watoto.Niliwahi kufanya hivo nilimfungulia biashara kwa mtaji wa m 3 ndan ya wiki kulikuwa na hasara ya laki nane bila ya kuibiwa au kutapeliwa!! Nikaja pata taarifa kuwa aliwapa wazaz wake bila makubaliano,,nikaifunga biashara kabisa na kuifilisi
Idiot una justify mchepuko kwa crap za mke hafui hapiki...kwani mke ni housegirl?Suala la mchepuko n kweli nnao lakin hakufanya nishindwe kutimiza majukumu yangu,pia mm kuwa na mchepuko kulichangizwa na yy (sijitetei) akawa hanifulii nguo ,hanipikii kabisa unadhan ningefanyaje?
Heheh!! Mkuu vp? Nakuona taratibu! Ila ujue yapo mengi nyuma ya kila picha mtu anayotumia.Dear Diana. Huyo kwenye picha ndio wewe?