We jamaa una ukili.Uko sahihi wanataka kufanya watoto kuwa kitega uchumi cha yeye na wazazi wake!
Wewe muulize kwa meseji mzee unachotaka nifanye ni nini?
Akisema anamtaka mwanae muulize je na hawa watoto wadogo unawafikiriaje?
Akikujibu vyovyote tunza meseji.
Halafu waache waende zao using’ang’anie
Mzee mama Hana mbadala, kitendo Cha kunilea mpaka kinafuta utata wake wote...mke anatakiwa aoneshe busara ya Hali ya just sana, sio ubabe kwa mamaHata kama mama yako ndie mtata kweli kweli?
Mkuu haya mambo ya migogoro ya ndoa Ninayoyashuhudia kwa marafiki hayanipi hamu kabisa ya kuoa...but ikitokea nimeoa mke wangu akaniambia kauli Kama ulivoambiwa..." Mama yako ni mke mwenza wangu" sijui sijui kitakachotokea.............
Asante saaana ndugu yangu nimekuelewa saaana,,mm sina nia ya kupelekana mahakaman kwani najua matokeo yake,,baba mkwe ndie ananitishia kunipeleka mahakaman,sijaona kosa la kupelekwa mahakaman lakin lengo n kwamba kama sitak kupelekwa mahakaman nikubali kufata kila atakacho yey na wazaz wakePole kwa changamoto na hongera kwa kuliweka mezani maana penye wengi hapaharibiki neno. Maelezo uliyoyatoa hayajitoshelezi hivyo itakuwa vigumu kupata ushauri uliojitosheleza. Itakuwa vigumu kukupatia ushauri mzuri kwani inaonekana kuna baadhi ya maelezo hujayaweka wazi. Kila atakayekupa ushauri atakupa ushauri kwa kutegemea taarifa pungufu ulizotoa. Yawezekana una sababu za msingi za kutoweka bayana taarifa zote za chanzo cha tatizo lako.
Haingii akilini mwanamke uliyeoana naye kwa mapenzi na hadi mkapata watoto leo aende kazini kwako kudai mshahara!
Haingii akilini wazazi wanaompenda binti yao ghafla wamshawishi aachane na wewe hadi kufikia kukupeleka mahakamani!
Haingii akilini tena from nowhere mkeo atamke kwamba 'Mama Mkwe wangu ni kama mke mwenza kwangu'
Kauli ya kwamba 'Mama Mkwe ni Kama Mke Mwenza' inaashiria kwamba umeshindwa kuweka usawa kati ya mama yako na mkeo, kila mmoja wao ana nafasi muhimu kwako - mama ana nafasi kwako kama mzazi na mlezi na pia mkeo ana nafasi yake kama mweza wako wa maisha.
Kwa kuwa wewe uko katikati ya sakata hili ambalo upande mmoja ni mkeo, wakwe zako na mama yako wewe ndiwe pekee wa kuliweka sawa jambo hili. Tambua kuna gharama kwa kila maamuzi tuyafanyayo hivyo tafakari kitu ni muhimu kwako na uko tayari kulipa gharama kiasi gani. Chochote unachoamua hakikisha unaweza maslahi ya watoto mbele kwanza kuliko chochote. Ubishi na ushindani kati yako wewe na mkeo au wakwe zako hautakusaidia - angalia maslahi ya watoto yameangukia wapi. Kwa maslahi ya watoto kama inawezekana jaribu kumshawishi mkeo mjaribu kuishi kama zamani. Ukifanikiwa kuishi na mkeo (hata kama amekukera kiasi gani) kuna faida nyingi kwako/kwenu kuliko hasara utakazopata ukiamua mtengane. Achana na epuka kabisa masuala ya kumpeleka mkweo au mkeo mahakamani - EPUKA KWA NGUVU ZOTE.
Kuna mengi lakini muda hautoshi - kama unahitahiji ushauri zaidi njoo pembeni
Nakuheshimu sana but we ni kama mtoto wangu wa 4 hivi, maana kijana wangu wa mwisho ana 26yrsKwanza ingependeza unipe heshma yangu, kisha naomba unikosowe kwa hoja
Jambo la kushkuru....Nakuheshimu sana but we ni kama mtoto wangu wa 4 hivi, maana kijana wangu wa mwisho ana 26yrs
Karibu Bukoba utoke huko UshiromboJambo la kushkuru....
Kwel kaka.tusipende kuingiza ishu za wazaz kwenye ndoa zetu.Tu deal na wake zetu sisi kama sisi.wazaz sio wakamilifu wakat mwingine.Mama zetu pia sio wakamilifu ila nahisi ukipata mke utanielewa
Kabisaa mkuu.Kama kiongoz wa familia you must claim your recognition right .kuna muda mwingine usipokua hivyo lazima hawa viumbe watakusumbua tuHao watoto ni wako kweli usikute umepigwa changa la macho ndo maana wanakuletea ujinga, kapime DNA usiwe mtumwa unafanya makosa sana kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe, wakati mwingine unapaswa kuwa aggressive kuwa dominant siyo muda wote hekima sijui busara sijui huruma
Haingii akilini mwanamke uliyeoana naye kwa mapenzi na hadi mkapata watoto leo aende kazini kwako kudai mshahara!
Haingii akilini wazazi wanaompenda binti yao ghafla wamshawishi aachane na wewe hadi kufikia kukupeleka mahakamani!
Haingii akilini tena from nowhere mkeo atamke kwamba 'Mama Mkwe wangu ni kama mke mwenza kwangu'
BILA SHAKA JIBU NI NDIO!!! Ukifuatilia harusi nyingi mjini zinazofungwa hawa wanahusika, ndio sbb ndoa nyingi zinafunjika nyakati hizi. Pole nduguPole sana kaka umeoa mwanamke anayekucontrol, sioni mwisho mzuri wa hili jambo.
Nje ya mada, huyu mwanamke ni mchaga?
Hio colabo ni mbaya haswa...waha wabishi na wajuvi kupindukia na wachaga ni materialised kinoma!Heeeeee umejuaje?? Mama yake n mchaga n baba ake ni muha!!
Suala la mchepuko n kweli nnao lakin hakufanya nishindwe kutimiza majukumu yangu,pia mm kuwa na mchepuko kulichangizwa na yy (sijitetei) akawa hanifulii nguo ,hanipikii kabisa unadhan ningefanyaje?
Hapana mm mnyakyusa yy muha mchanganyiko na mchaga!! Tulikutana dsm tu
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano
Idiot una justify mchepuko kwa crap za mke hafui hapiki...kwani mke ni housegirl?
Kupika na kufua ni part and parcel ya upendo. Kama humtreat right atapata wapi hamu ya kukuhudumia?!