Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Vitaa
Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana
Ila ndoa ni tamu sana ukipata partner wako ambaye mmekubaliana hata kama hamna pesa nyingi kiasi hicho ila mkapendana kweli
Nashindwa kuandika vizuri, niishie tu kusema
Kuhusu ndoa M/Mungu tu awasimamie kwenye ndoa yenu na si vinginevyo