NDOA (Kwa Sasa yani generation hii believe me bikra sio ndoa na ndoa sio bikra)

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,481
Reaction score
4,014
Habari wana JF.

Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa hazijasoma kilometer nyingi ila ni walewale tu. Nasema hivyo wakuu Kwa sababu zifuatazo.

katika harakati za kufanya vitu Kwa kuzingatia ubora nikaona niitafute mwanamke bikra na kweli nilifanikiwa kupata kitu new kabisa hakijaguswa kabisa hata maziwa(chuchu) zake zilikuwa zimesimama ileile yani Kama akikukumbatia Kwa nyuma hivi basi chuchu zake lazima zitakuchomachoma mgongoni vijana wanasema chuchu saa sita.

Tumeenda vizuri na tupo vizuri ila Kuna maswali ambayo amekuwa akiniuliza naona kabisa soon naenda kumkosa(tutaachana) kwa sababu huwa sivumilii mwanamke aki-cheat.

Maswali hayo ni haya.

1. Hivi wanaume wote ni watamu Kama wewe (hii ni red flag Kwa sababu anashahuku ya kujua na ili apate majibu ni lazima acheat sijajua nani kamfundisha kuwa Kuna wanaume watamu na wachachu/wakali).

2. Hivi wanaume wote wana uume mkubwa Kama wako (sijajua uume Mdogo aliuona wapi. Kwangu Mimi naona ni red flag sijui kwenu wakuu).

3. Hivi Kama nikilala na mwanaume mwingine unaweza kugundua/kuona utofauti kwenye sehemu zangu nyeti (hapa tulikuwa tunapiga story kuhusu kuchepuka Kuna jirani alikuwa anapigwa kisa kachepuka hii pia naona ni red flag sijui kwenu wakuu).

Sasa kupitia maswali machache hapo juu nahisi atakuwa na maswali mengine mengi zaidi ya hayo so naona kabisa anashahuku ya kupata majibu na majibu ili yapatikane ni lazima acheat so soon nagongewa wakuu na naona kabisa haliepukiki hili sio kwamba hatosheki naona anaudadisi wa kimalayamalaya .

Hivyo basi wazee me naona tuoe tu hata Kama sio bikra kwani bikra sio ndoa na ndoa sio bikra. Hasahasa hawa bikra wa miaka hii ni malayamalaya yani wana mawazo ya kimalaya malaya hivi.
 
She wote zitapita kimyaaa kwenye uzi wako mkuu.
Ya kweli hayo. Wanawake wanaongoza kwa kutokulidhika.
 
kwanini hajauliza ume wako ni mdogo kama WA wengine? asitufanye wajinga km watu fulani kuhama chama fulani na kwenda kingine wakati kuna chenye nguvu na masilahi mapana kuliko wanavokwenda!
 
Back
Top Bottom