Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Na vijana hawataki kuoa kweli wapo serious ππππππππ ndio kizaz tunachoishi nacho sasa ndio maana kuoa imekuwa shughuli sikuhizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vijana hawataki kuoa kweli wapo serious ππππππππ ndio kizaz tunachoishi nacho sasa ndio maana kuoa imekuwa shughuli sikuhizi
Sasa mama mkwe naye kafanyajeAsante sana kaka, bonge la wazo... nimehaso nae sana, saiv mambo yangu yaneenda mrama ananiona mzigo
Siku nikitoboa tena hakuna rangi ataacha ona Qumamaq
Kuna wakati nilidharaulika na mke mpaka nikawa usingizi sipati ila yeye analala na usingizi wa ndoto kabisa anapata!Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.
Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
Njoo nikuwoweSijampata wa kunioaπ. Kaka mzabzab π
Utakuwa umesoma kwenye fremu ya picha ya ukutani nyumbani kwangu, kwasasa mambo shwari mke wangu huifuta vumbi pamoja na picha nyingine sasa sijui huko mbele, msiondoke kwani nitarudi kuwasimulia litakalotokea.FILISIKA UJUE TABIA YA MKEO
Cheki hili gasho linataka kufi.rwa kwa nguvu...peleke miwasho huko[emoji57][emoji57][emoji57]Una ushahidi gani kama ndiye yeye? Nyie sasa hivi tunawachukulia kama Malaya tu ntomb.e nikale kmmmk.
Hiyo ni kawaida yao,pambana tu kuzitafuta mkuu...Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.
Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
Badilisha mazingira nenda mbali ukatafute maishaAsante sana, Yan skuiz najibishwa hovyo, naonekana sio mwanaume. Daaah
Kunamda nataman kumpasua nikaozee jela maana kujiua siwez
[emoji16][emoji16] weeeeeNjoo nikuwowe
Mwanamke ni furaha kuitwa mke bwana[emoji16][emoji16] weeeee