Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

Asante sana, Yan skuiz najibishwa hovyo, naonekana sio mwanaume. Daaah

Kunamda nataman kumpasua nikaozee jela maana kujiua siwez
Usmpasue man kwa uzoefu wangu mwanamke dizaini hio hakawilii kukulaza ndani😀
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.
Ukitulia unaandika vya maana sana😍
 
he heh...wanaume bana

mkiwa na hela zenu mnaona mke wako hafai kuspend nazo....wapo wa kuzila

ukiishiwa unarudi kwa mke na kutaka akuchukulie km mfalme vile....

jiulize uliishije nae kipindi unakazi na sasa hv huna unaishije nae???

kutoa hela ya kula tu haitoshi kuonesha kujali au kupenda
 
Mie nimefeel uchungu wa mtoa mada [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoa mada kuna comment kasema wife kamjibu mbovu kisa apechalolo.. na mm si ndio nimesema ‘wakome kutanguliza hela? [emoji848] [emoji3166]

Umewataja hao samaki na mimi naanza kweli kufeel uchungu [emoji12][emoji12]
Vijana wasikuizi Mapepe wanatabia ya kuwapa pesa wachumba kila wanapo ombwa sasa wakija kuwaoa pesa zikikimbia ndiyo wanakuja kujuwa wapo na tabia za wake walio wala, kumbe tokea mwanzo wa uchumba wao wangekuwa wagumu kwenye kutoa pesa wala wasinge pata shida kwenye ndoa maana huyu mke wake angekuwa ananyimwa pesa kipindi wapo kwenye uchumba wala asingeweza kukubali kuolewa na jamaa angenusurika kuoa mke kimeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.
Mhm mnaongea kirahisi lakini uhalisia wa mambo ni kwamba mkono mtupu haulambwi na mbususu bila hela utaishia sikia jf🤣🤣🤣
 
Kuna Dem nliwai mchetua Alimimina shida zake hadi nikawa najiuliza uyu anaishije niliombwa hadi mchango wa Kipaimara cha mtoto…kila ikifika lunch time lazma apige simu kwamba My sijala najiuliza kabla hatujakutana alikua anashinda njaa😀
 
Back
Top Bottom