Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

Kama ulikuwa na michepuko ndio pa kuwapigia wakusaidie hela za matumizi.

Maana wanaume wengine wakiwa na hela huwa hawashikiki kwa michepuko, wanajifanya wao ni kina chimwaga a.k.a tupatupa [emoji108][emoji108]

Ni mwendo wa kula bata na kuhonga michepuko na kuiweka mjini!

Haya sasa wapigie wapate kukusitiri kwenye mtihani unaopitia.
 
Hii comment unairudia mara ya pili humu humu, wewe ndio mkewe jamaa? au wakati jamaa ana hiyo michepuko uliiona/alikwambia? Mbona unamuongezea maumivu mleta mada? Inaonekana kitendo cha mkewe kimekufurahisha sana.

Kama ishu ni michepuko, kama alikua nayo ina maana alikua bado anaihudumia familia yake ndomana ndoa haikuyumba.

Uwe unajitahidi kuzuia mihemko yako, unachokifanya si sawa, JITAFAKARI....
 
Kwa hiyo wewe pili-pili zikiwa shamba zinakuwasha wewe wa mjini ?

Rudia kusoma vizuri kati ya mistari utaelewa nani anahemkwa zaidi kati ya mimi na wewe.

Ile kusema wanaume wengine maana yake ni baadhi na sio wote.

Sasa ni yeye kujipima anaangukia kundi lipi?!

Nimeandika neno iwapo alikuwa na muchepuko, Kwa hiyo ni yeye kuweza kusema hapana yeye mambo ya michepuko na yeye ni tofauti wala hakuwahi kujihusisha na mahusiano ya hivyo, si Basi Ingetosha tu na kueleweka?!

Sasa wewe ndio unakuja kutaka kudandia gari kwa mbele au ?! [emoji2369]
 
Kwanini upost mara mbili mbili kana kwamba unalazimisha auone ujumbe wako?

Naelewa maumivu anayoyapitia mleta uzi ndomana pili pili za shamba zinaniwasha mm huku wa mjini.

Enewei ujumbe wangu hapo juu umeupata, PUNGUZA MIHEMKO. Etii unataka ajibu kama alikua na michepuko au laa, ili iweje? Kama alikua nayo na ndoa haikuyumba inahusiana vp na kuyumba kwa ndoa yake hivi sasa?
 
Ukikosa/ukipoteza Pesa unapoteza na haki ya kuwa na mume/mpenzi. Tafuta Pesa tu na utapendwa tena kwa Pesa zako mbele ya safari,don't stress.
 
Kuna wanaume wakiwa hawana hela hawawi wazi kwa wake zao.Mke akiomba matumizi mme anamjibu mbovu. Mke naye anapata hasira hapo ndo hali ya hewa inapoanza kuchafuka.
 
Kwanini upost mara mbili mbili kana kwamba unalazimisha auone ujumbe wako?

Naelewa maumivu anayoyapitia mleta uzi ndomana pili pili za shamba zinaniwasha mm huku wa mjini.

Enewei ujumbe wangu hapo juu umeupata, PUNGUZA MIHEMKO. Etii unataka ajibu kama alikua na michepuko au laa, ili iweje? Kama alikua nayo na ndoa haikuyumba inahusiana vp na kuyumba kwa ndoa yake hivi sasa?

Kwanini chanzo cha ugomvi!

Mbona ni jambo la kawaida sana kwenye majadiliano kurudiwa kwa sentesi?!

Hata mkufunzi anapofundisha darasani ni kawaida kurudiarudia points tena Kwa mwerevu hupigia mstari na kuchukulia kuwa huenda litakawa ni jibu la swali la mtihani hapo badae!

Kwa hiyo si jambo la kushangaza hata kidogo kwa mwenye uelewa wa mambo!
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.

Its my love D[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[mention]Depal [/mention]
 
Very sad🥲🥲🥲 huwezi amini rafiki yangu demu wake wameishi mwaka wa kwanza mpaka wa tatu alikuwa wanatokea mkoa mmoja huko chuga
Mbaya baada ya chuo jamaa kapotea kweny ramani ajira hamna kodi inamshinda akiwa anatafakari alipata dili moja jamaa ni mtaalamu sana wa website sijui ufundi anao kichwani akapata Kama mil 3 akasema nusu anampa demu ajiendeshe kibiashara nusu yeye ili wasaidiane

Akiwa anatafakari hela ipo na tabasamu lisharudi anapokea mwaliko kuwa demu wake anataka kuolewa na jamaa anapiga kazi TRA kamuuliza demu demu kamkana eti hamjui kingine demu alitoa mimba ya mshkaji hapo kati

Jamaa hana mood ni mda tangu mwezi wa kwanza na demu bado anaishi na jamaa anakaa kigogo hapo jamaa kakutana nae mara mbili basi roho inamuuma demu ana kimimba cha jamaa alitaka kujiua nikamshauri asepe dar es salaam karudi chuga yuko town anakula pamba anashusha belo za mtumba anashika parefu mitupio ya maana miezi minne tu anaroll na wazungu maana ana dili za utalii pia ..

Bro move on sorry ndo dunia
Mamanz wana mambo za kiwaki sana ani, ukiwa na dow wanajifanyaga wako real kinoma ila jaksi
lilikisepa wanaleta umang'aa!

Mbishe ni kuchapa na kung'oa tu, manzi akishatimba Dasalade uwaga ndonga zinaformat kabisa. Kama huna jala hapa town ni msala lazma manz ako wamkware tu arif.
 
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.

Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.

Mkuu sio jambo la kucheka wala kushangaza unless ukiwa mgeni kabisa wa hio situation ila mimi kama baharia nimekwepa mishale mingi.

Hawa wanawake zetu ni basi tu ila wengi wako kimaslahi katika mahusiano. Ndio maana wanawake ambao nawaogopa kama ukoma ni wale wabinafsi na ambao kujitaftia hawawezi kabisa.

Wanawake wa kuwafuga huwa mwisho wake ndio ukifulia wanakuletea makelele badala washow love wanaishia kukupondea
 
pole sana kwa yaliyokukuta mimi yalishawai kunitokea ayo mimi nilisimamishwa kazi kabisa kwenye tahasisi nilyokuwa nafanyia kazi kuna wizi ulitokea kwenye kitengo nilichopo tukasimamishwa watu kama8 ili kupisha uchunguzi kwa akili zake akajua mimi ndio basi tena kurudi kazini hakuna rangi niliyoacha kuiona akataka kunipangia ata muda wa kurudi home yani alipanga ikifika saa2 kamili ucku niwe ndani kisa yeye ndiye aliyekuwa ananipush kwa iyo miezi niliyokuwa benchi.. mambo yakajipa nikarudishwa job mpaka apa ninapoongea nipo single ndoa niliivunja
 
Safi sana
 
Mamanz wana mambo za kiwaki sana ani, ukiwa na dow wanajifanyaga wako real kinoma ila jaksi
lilikisepa wanaleta umang'aa!

Mbishe ni kuchapa na kung'oa tu, manzi akishatimba Dasalade uwaga ndonga zinaformat kabisa. Kama huna jala hapa town ni msala lazma manz ako wamkware tu arif.
😅😅😅
 
Very sad🥲🥲🥲 huwezi amini rafiki yangu demu wake wameishi mwaka wa kwanza mpaka wa tatu alikuwa wanatokea mkoa mmoja huko chuga
Mbaya baada ya chuo jamaa kapotea kweny ramani ajira hamna kodi inamshinda akiwa anatafakari alipata dili moja jamaa ni mtaalamu sana wa website sijui ufundi anao kichwani akapata Kama mil 3 akasema nusu anampa demu ajiendeshe kibiashara nusu yeye ili wasaidiane

Akiwa anatafakari hela ipo na tabasamu lisharudi anapokea mwaliko kuwa demu wake anataka kuolewa na jamaa anapiga kazi TRA kamuuliza demu demu kamkana eti hamjui kingine demu alitoa mimba ya mshkaji hapo kati

Jamaa hana mood ni mda tangu mwezi wa kwanza na demu bado anaishi na jamaa anakaa kigogo hapo jamaa kakutana nae mara mbili basi roho inamuuma demu ana kimimba cha jamaa alitaka kujiua nikamshauri asepe dar es salaam karudi chuga yuko town anakula pamba anashusha belo za mtumba anashika parefu mitupio ya maana miezi minne tu anaroll na wazungu maana ana dili za utalii pia ..

Bro move on sorry ndo dunia
Mbona kama ni wewe ndo mhusika
 
pole sana kwa yaliyokukuta mimi yalishawai kunitokea ayo mimi nilisimamishwa kazi kabisa kwenye tahasisi nilyokuwa nafanyia kazi kuna wizi ulitokea kwenye kitengo nilichopo tukasimamishwa watu kama8 ili kupisha uchunguzi kwa akili zake akajua mimi ndio basi tena kurudi kazini hakuna rangi niliyoacha kuiona akataka kunipangia ata muda wa kurudi home yani alipanga ikifika saa2 kamili ucku niwe ndani kisa yeye ndiye aliyekuwa ananipush kwa iyo miezi niliyokuwa benchi.. mambo yakajipa nikarudishwa job mpaka apa ninapoongea nipo single ndoa niliivunja
Dah pole sana mwamba sema safi maana ulishamove on najua ulivyorudi kwenye network alirejesha adabu zaidi japo ulishamsoma kuwa ni mshenzi😀

Kama hutajali hebu endeleza kipande ulichompiga chini ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom