Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.

Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga
Wachache sana ambao wanaweza kuvumilia hii hali, kuwapata sasa ni kazi zaidi ya Zelensky kumuondoa Putin kwenye ardhi yake

Pole sana mkuu
 
Hivi kumbe nimeongea kwa uchungu? [emoji1787][emoji1787][emoji23]

Kwema babe!! Niko bien sana na wala sina uchungu
ku CC(ana) huwa kunaanza hivi hivi.

Tunasubiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Men searching for leadership and authority
While women searching for security and support

Ukijua hvyo vitu hapo juu huwezi kuumiza kicha kwasababu ya mwanamke never and ever.
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.
Hata akikupenda bila pesa kuna siku atakuja kukimbia kwasababu ya pesa kwa hyo pesa inahitajika iwe mwanzoni mwa mahusiano au baadae pesa bado inahitajika.
 
Asante sana,Yan skuiz najibishwa hovyo, naonekana sio mwanaume. Daaah

Kunamda nataman kumpasua nikaozee jela maana kujiua siwez
Mkuu nakushauri usije thubutu kumpiga,kama amekushinda sana mwambie afanye anachotaka, kwa nini uharibu future yako kisa mwanamke ambae unakufa leo ama kufungwa anaolewa na mwingine. Piga moyo konde tumia sasa uanaume wako.
HASIRA HASARA.
 
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.

Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga
Kawaida

Filisika ujue tabia ya mkeo

Pata fedha mkeo ajue tabia yako
 
Piga chini mzee, sio mama yako mzazi huyo, asikuue kwa presha buure, ye abaki anakula kula raha duniani we uende kaburin, au upate stroke bure.
 
Ndio mkomeee kutanguliza hela mbele afu nyie mnajibanza nyuma ya hela… sasa siku zikipukutika ndio mtajua rangi halisi..

Hela iwepo muhimu,, ila mji control kwenye kuifanya imvutie mtu. Maana siku ukitetereka ni hamna rangi utaacha ona.

Acha mtu akupende wewe na materials zako zingine sio pesa.
Hizo materials zinajumuisha wewe binafsi, mapenzi yako, urafiki wenu, sense of humor and the like.
Ushauri kutoka kwa shangazi[emoji122]
 
Asante sana, Yan skuiz najibishwa hovyo, naonekana sio mwanaume. Daaah

Kunamda nataman kumpasua nikaozee jela maana kujiua siwez
Mkuu Pole Sana
Usimpige wala kumpa maneno makali!!
Mwambie ukweli kuwa unapitia kipindi kigumu Sana kiuchumi!
Na kama anahisi kuna majani mabichi sehemu na kwako yamekauka basi aende tu kwa amani BILA Shari!!!
Mwambie!
Humchungi wala kumbana Sana maana maamuzi ni ya moyo wa mtu na si vinginevyo!!!
Pia unamtakia maamuzi mena ya manufaa kwake YEYE wala hutaki majibu mabaya na gubu ndani bali UHURU wa kuchagua la kufanya!!
Ongezea
Kuwa NDOA sio kifo wala kifungo bali UHURU wa kuamua BILA kuingiliwa na NDUGU wala wazazi!!
Mwambie afanye maamuzi na wewe ipo tayari kwa uamuzi wowote atakaochukua na hutaki kuumizana na mtu kila mtu awe huru na maamuzi yake kama anaona hakuna kimbele(future) ya uhusiano huo!!!!
Tusije Kuuana Bure WAKATI sio lazima tuzeeke pamoja kama nyumba hajapenda hicho kikaratasi cha cheti cha NDOA sio cha maana KULIKO furaha tunayopaswa kuwa mayo Maishani!!!
Simple tu halafu umpe MUDA wa kufikiria akupe majibu sio kujibishwa vibaya na kudharauliana kisa Hali ngumu!!!
 
Back
Top Bottom