Baada ya kukupotezea muda ndiyo anakuambia wazazi wangu wamenitafutia mchumba. Kumbe alikua anamsubiri amalize masomo.Ooooh! Wengine wanapretend mpaka unajiona umefika, kumbe moyo wake una yake mengine!
Ukifikia kuoa au kuolewa basi mshukuru Mungu, ukiolewa na wa kufanana nae mtukuze kabisa Mwenyezi Mungu!
Na ina funzo kubwa sana kwa wanaume.Hii ni nyepesi sana kuletwa na mtu wa heshima kama wewe.
Kuna wengine wanakubali lakini moyoni anawaza mbinu ya kubadilisha gear angani.Na ina funzo kubwa sana kwa wanaume.
Kama una mpenzi wako wa maisha umeamua kuwa na mwingine wa pembeni, basi, mwambie huyu wa pembeni kuwa mpo kwa ajili ya starehe ya muda mfupi, akikubaliana na hiyo hali ndipo mahusiano yaanzishwe.
Wewe ni ke?Na ina funzo kubwa sana kwa wanaume.
Kama una mpenzi wako wa maisha umeamua kuwa na mwingine wa pembeni, basi, mwambie huyu wa pembeni kuwa mpo kwa ajili ya starehe ya muda mfupi, akikubaliana na hiyo hali ndipo mahusiano yaanzishwe.
πππππWadanganye kama wataolewa Tuko hapa
Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???
Alafu hapo utegemee ukitaka kuondoka nikupe Pesa????.....
Daahhh maaamake.
KWA TAARIFA YENU, NA HILI MLIJUEE NA MLIWEKE VICHWANI VYENU......
***SISI WANAUME TUNATAFASIRI KUJALIWA, KUHESHIMIWA, KUFULIWA, KUPIKIWA NA VITU VYA IVO KUA NDIO UPENDO YAAN HAPO UNAMUONA HUYU NI MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANAAA ANAFAA KUWEKWA NDANI CHAP***.
nakupa mfano mimi mwenyewe ... Niliwahi date na Dada mmoja Mmarangu mweupe peeee, makalio makubwaaaa. Hips zimekimbianaaa, pisi kweliiiii yaaan ulikua ukipita naye ntaaan ni kelele tu za vijana ... ila ya ndani ilikua ni siri yangu.( kama unavyowashauri hapa).
Akilala saa nne usiku, kuamka ni saa tano asubuhi .
One day nilimwambia Mama unakuaje. Mbona hivi??? Ohoooo hujanioaaa , oooohoo toa mahari kwanza .
Am a Hardliner in Nature , nilimwacha siku moja kwa ujumbe wa meseji tu bila mbwembwe.
NB.. Umeshaumbwa mwanamke na umeshayaanza Mapenzi acha mambo mengi, namengi yasiwe mambo, chukua nafasi yako kama mwanamke , kama HANA MPANGO wakukuoa basi haikua Ridhiki yako.
Ninakubaliana na wewe, angalia mwanaume anavyokutambulisha kwa rafiki zake. Kama haoni fahari kuwa na wewe mbele ya rafiki zake, huko muendako Kuna giza.Pamoja na kuwa na mahusiano kadhaa huko nyuma lakini siku nimekutana na mke wangu moyo ukaniambia hapohapo kuwa huyu ndiye mkeo.
Nimewahi kuwa na uhusiano na dem ambaye ni mchumba wa mtu, huyu dem aliniambia hawezi kuolewa na huyo mchumba wake kwani moyo wake haujamkubali awe baba wa familia yake, baadae walikuja pigana chini.
Mimi nadhani hii tabia ya kumfanyia kazi nyingi mwanaune haina nguvu sana kupelekea ndoa bali inamhakikishia mwanaume kupata mzigo muda wowote anapoutaka.
Kwahiyo wanawake kabla ya kufanya hayo yote tathmini kwanza nguvu ya upendo iliyopo.
MABAHARIA TUMETOA SIRI.
Kwanini uishi sehemu chafu? Kwanini usifanye usafi nyumbani kwako?. Wote mnatakiwa mjue kufanya usafi na muwe mnafanya usafi kwenye nyumba zenu. Na mwanamke wa kuoa hapimwi kwa vitu hivyo.Wadanganye kama wataolewa Tuko hapa
Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???