Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi

Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi

Ooooh! Wengine wanapretend mpaka unajiona umefika, kumbe moyo wake una yake mengine!

Ukifikia kuoa au kuolewa basi mshukuru Mungu, ukiolewa na wa kufanana nae mtukuze kabisa Mwenyezi Mungu!

Nashukuru Mungu Alhamdulilah nimepata wa kufanana nae Miaka 15 sasa yuko vile vile na nahisi amezidi kua mwema na. Mzuri zaidi
 
Wadanganye kama wataolewa Tuko hapa


Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???

Alafu hapo utegemee ukitaka kuondoka nikupe Pesa????.....

Daahhh maaamake.



KWA TAARIFA YENU, NA HILI MLIJUEE NA MLIWEKE VICHWANI VYENU......

***SISI WANAUME TUNATAFASIRI KUJALIWA, KUHESHIMIWA, KUFULIWA, KUPIKIWA NA VITU VYA IVO KUA NDIO UPENDO YAAN HAPO UNAMUONA HUYU NI MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANAAA ANAFAA KUWEKWA NDANI CHAP***.


nakupa mfano mimi mwenyewe ... Niliwahi date na Dada mmoja Mmarangu mweupe peeee, makalio makubwaaaa. Hips zimekimbianaaa, pisi kweliiiii yaaan ulikua ukipita naye ntaaan ni kelele tu za vijana ... ila ya ndani ilikua ni siri yangu.( kama unavyowashauri hapa).

Akilala saa nne usiku, kuamka ni saa tano asubuhi .... Alafu hapo hapo akitaka kuondoka unaona anavyohangaikia kukodoa macho Wallet ilipo... ( wamarangu na Pesa ni mtoto shikamoooo kwa Baba na mama)



One day nilimwambia Mama unakuaje. Mbona hivi??? Ohoooo hujanioaaa , oooohoo toa mahari kwanza .



Am a Hardliner in Nature , nilimwacha siku moja kwa ujumbe wa meseji tu bila mbwembwe.



NB.. Umeshaumbwa mwanamke na umeshayaanza Mapenzi acha mambo mengi, namengi yasiwe mambo, chukua nafasi yako kama mwanamke , kama HANA MPANGO wakukuoa basi haikua Ridhiki yako.

Sijawahi kupika au kufua... au sbb mahusiano yalikua mafupi [emoji23][emoji23].. tumejuana within 3 months then Ndoa sasa ni miaka 15 ila kama tumeowana juzi.... hao wa kufua na kupika wanakua na mahusiano ya miaka na Miaka eti anakuchunguza[emoji23][emoji23]....
 
Pamoja na kuwa na mahusiano kadhaa huko nyuma lakini siku nimekutana na mke wangu moyo ukaniambia hapohapo kuwa huyu ndiye mkeo.
Nimewahi kuwa na uhusiano na dem ambaye ni mchumba wa mtu, huyu dem aliniambia hawezi kuolewa na huyo mchumba wake kwani moyo wake haujamkubali awe baba wa familia yake, baadae walikuja pigana chini.
Mimi nadhani hii tabia ya kumfanyia kazi nyingi mwanaune haina nguvu sana kupelekea ndoa bali inamhakikishia mwanaume kupata mzigo muda wowote anapoutaka.
Kwahiyo wanawake kabla ya kufanya hayo yote tathmini kwanza nguvu ya upendo iliyopo.
MABAHARIA TUMETOA SIRI.

Kabisa.... sijawahi fanya kazi yoyote ya mwanaume na baada ya miezi mi 3 aliniowa ... hatukumaliza hata miezi sita tukafunga ndoa
 
Wadanganye kama wataolewa Tuko hapa


Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???

Alafu hapo utegemee ukitaka kuondoka nikupe Pesa????.....

Daahhh maaamake.



KWA TAARIFA YENU, NA HILI MLIJUEE NA MLIWEKE VICHWANI VYENU......

***SISI WANAUME TUNATAFASIRI KUJALIWA, KUHESHIMIWA, KUFULIWA, KUPIKIWA NA VITU VYA IVO KUA NDIO UPENDO YAAN HAPO UNAMUONA HUYU NI MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANAAA ANAFAA KUWEKWA NDANI CHAP***.


nakupa mfano mimi mwenyewe ... Niliwahi date na Dada mmoja Mmarangu mweupe peeee, makalio makubwaaaa. Hips zimekimbianaaa, pisi kweliiiii yaaan ulikua ukipita naye ntaaan ni kelele tu za vijana ... ila ya ndani ilikua ni siri yangu.( kama unavyowashauri hapa).

Akilala saa nne usiku, kuamka ni saa tano asubuhi .... Alafu hapo hapo akitaka kuondoka unaona anavyohangaikia kukodoa macho Wallet ilipo... ( wamarangu na Pesa ni mtoto shikamoooo kwa Baba na mama)



One day nilimwambia Mama unakuaje. Mbona hivi??? Ohoooo hujanioaaa , oooohoo toa mahari kwanza .



Am a Hardliner in Nature , nilimwacha siku moja kwa ujumbe wa meseji tu bila mbwembwe.



NB.. Umeshaumbwa mwanamke na umeshayaanza Mapenzi acha mambo mengi, namengi yasiwe mambo, chukua nafasi yako kama mwanamke , kama HANA MPANGO wakukuoa basi haikua Ridhiki yako.

Kweli huyo mwanamke kichwa ugali...kwa hiyo hela ina thamani kuliko papuchi yake hahaha wanawake bwana
 
Kwanza hongera, ndani ya miezi mitatu tu mmekutana na mmeoana ....

Kwamba iyo miezi mitatu ulikua ukimtembelea humfanyiii chochote ??

Na bado mwamba akakuoa .
Sijawahi kupika au kufua... au sbb mahusiano yalikua mafupi [emoji23][emoji23].. tumejuana within 3 months then Ndoa sasa ni miaka 15 ila kama tumeowana juzi.... hao wa kufua na kupika wanakua na mahusiano ya miaka na Miaka eti anakuchunguza[emoji23][emoji23]....
Ningekua mimi Nisingekuoa.
 
Kweli huyo mwanamke kichwa ugali...kwa hiyo hela ina thamani kuliko papuchi yake hahaha wanawake bwana
Mkuuu Pesa na mwanamke havitenganishwi .

Kikubwa mwanamke apende pesa kwa mwanaume wake lkn atimize pia mshitaji ya mwanaume wake.


Kila siku nasema humu, haingii akilin mwanaume afanye hatua 99 et weeee umekaaa unangoja hata iyo 1 aimalizie.



Hao ni wanaume dizaini ya EX WA HAMIDA.
 
Na ina funzo kubwa sana kwa wanaume.
Kama una mpenzi wako wa maisha umeamua kuwa na mwingine wa pembeni, basi, mwambie huyu wa pembeni kuwa mpo kwa ajili ya starehe ya muda mfupi, akikubaliana na hiyo hali ndipo mahusiano yaanzishwe.
Nani atakubali huo ushenzi. Yani the moment unasema mpo kwa mahusiano ya muda mfupi jua tu hutapata unachokitaka kabisa. Labda ukafanyie hako kamchezo Kimboka.
 
Mkuuu Pesa na mwanamke havitenganishwi .

Kikubwa mwanamke apende pesa kwa mwanaume wake lkn atimize pia mshitaji ya mwanaume wake.


Kila siku nasema humu, haingii akilin mwanaume afanye hatua 99 et weeee umekaaa unangoja hata iyo 1 aimalizie.



Hao ni wanaume dizaini ya EX WA HAMIDA.

Umeongea ukweli mtupu.
 
Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha. Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo mengi.

Unakuta dada amemuona mkaka na amempenda, anajiwekea kabisa huyu lazima anioe . Anaanza kumfulia nguo, kusafisha nyumba yake kumpigia. Ukiwa unafanya yote hayo pia angalia uhusiano wenu una afya gani. Usiwe wewe wa kufua na kupiga pasi wakati hata kwa marafiki zake hakutambulishi.

Basi kuna mmoja wakati amemaliza kupiga pasi nguo za ‘honey wake’ anaziweka kabatini alikutana na engagement ring. Akijua hii nitavalishwa mimi, acha ajiongeze kwa mwanaume Yule. Kumbe pete ile jamaa aliinunua amvishe mpenzi wake aliyepanga kumuo huko siku za badae. Pale alikuwa anapoteza muda tu akimsubiri mtarajiwa wake.
Wanaume tumeumbwa mateso kuangaika!!! Ushauri mzuri sana kwa wadada!!
 
Nani atakubali huo ushenzi. Yani the moment unasema mpo kwa mahusiano ya muda mfupi jua tu hutapata unachokitaka kabisa. Labda ukafanyie hako kamchezo Kimboka.

Kama hutaki kuwapa wanawake matumaini ambayo hayapo ni bora uwe mwanachama wa badoo na tinder🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila anapimwa kwa tako refu na kucha bandia? Au sura nzuri nini? Una safari ndefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda atusaidieeee, alafu unakuta hata kanisani/ msikitini bado haendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Mimi nasemaje, wanaume linapokuja suala lakuoa, TUENDELEE KUA IVIIVI TUJITAMBUE IVIVI


Hawa viumbe ukihadaika na Upendeleo unaowapa na uzuri wa mwonekano wake.. UTAPATA TABU SANAA NAHATIKA YAKE NI KUFA MAPEMA.
 
Acheni tu jamani uoaji wa kukurupuka huu,mpaka dakika hii najiuliza kwa nini nilioa kisa mimba??
Mimba imenetea kizaazaa tupu,
Na mimba yenyewe haikuzaa matunda.
Nikaacha wife material mwenye kila sifa ya kuitwa mke,
Sijui wanaume huwa tunatafuta nini tu.
 
Hii ni nyepesi sana kuletwa na mtu wa heshima kama wewe.
She is the best of both worlds !!!
Ushuani yupo na uswahilini pia anapatikana, Sio hoja nyepesi hiyo, sababu inawatokea sana dada zetu na inawaumiza sana,

Haya mambo ukikaa uswahilini ndo utayaona in full pictures, Kuna wanawake wapo desperate na ndoa hadi wanapoteza uhuru na thamani yao.
 
Back
Top Bottom