Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Sasa hapa ndipo nilitaka tufikie.Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.
Pili isitoshe hayo ni majukumu ya mwanamke, ni sawa mimi nipende kuolewa na wewe kwa sababu ni provider mzuri wa familia. Hilo ni jukumu la kila mwanaume lakini kuna vigezo ambavyo ni muhimu kuangalia kama,
Kindness.
Awe na uwezo wa kukufanya ucheke.
Muwepo na sexual chemistry.
Honestly/very open.
Supportive
Anakuheshimu.
Are you happy with her? Je ana furaha kuwa na wewe?
Je yupo tayari kuzaa watoto na wewe? Nk
Hivo ni vitu ambavyo ni ngumu ku-fake, na havipatikani kwa kila mtu. Na ni muhimu kwa ustawi wa ndoa.
Kwaiyo tunakubaliana, kila mmoja atimize majukumu kwa mwenzake ambayo ni wajibu wake.
Vingine vitakuja vyenyewe.
Kuna mtu alileta uzi humu..... Nje ya Sex mwanamke anakitu gan kingine cha kumpa mpenziwe???.