Tariq Mimi
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 368
- 726
N
Naona umekua bingwa wa kubashiri sasa,wapi nimesema afanye kazi peke yake bila kusaidiwa? Na suala la makalio nimekupa mfano tu imagine wanaume wengi udhaifu wao ni makalio,shepu may be na chuchu...wataoa wangapi wenye sifa hizi? Ieleweke hakuna marriage at first site na ndio maana kuna kitu kinaitwa courtship...kwa hio awe na makalio makubwa pia ajue kufua 'jinsi' ,interesting!...i wish ningejua jinsi ya kuexplore deeper kujua ndoa za wafua 'majinsi' kama ziko happy,lol, sababu kwangu huku ni kufeki,mutual understanding sawa..tunafua wote au kupokezana wote tunabaki happy,hii ya mmoja kufanya kila kitu..ndio maana watu wanazeeka mapema na wanaonekana hawana furaha...ufanye kila kitu kama mwenzio yuko disabled..baaasi