Tayta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 310
- 576
Asipokuwepo nani uwa ananifania kama sio mimi mwenyewe?? Mimi binafsi nikijana msafi, napenda kila kitu kiwe sawa ndani kwa mpangilio na usafi wa hali yajuu.
Unapokuja wewr mwanamke, nategemea ustaharabu wangu ndani utakua kwa namna moja inabadilika sababu yakuwepo watu wawili ndani.
Sasa ongezeko lako ndani, lisifanye nikuone umeniongezea mzigo tu . Kwa mfano... Kama vyombo vya mapishini vitaongezeka , ongezeko hili limechangiwa na uwepo wako pia , Kwaiyo mimi ndio niingie nikoshe vyombo??? Nitandike kitanda ??? Weee umelala tu kisa hujatolewa mahari??????
Yaaan kwamba wewe uwepo wako kwangu ni Papuchi tu?? Kama ni papuchi mimi mbona pia nakupa muhogo??? Sasa km tunapeana muhogo na papuchi.... Kwann utake nikupe Hela ?? Nikuhudumie??
Ikiw unaona papuchi nikila kitu, hata mm muhogo naokupa unatosha...
Usiniombe HELA. .. namm Mambo yangu hayo nitajifanyia mwenyewe... Full Stop.
Am a Hardliner in nature, sinaga kariba ya kujifanya mshumaa.Kwa ufupi, Kama unataka kuolewa Pita ndani ya mistari yangu, kama unataka kusogeza siku basi endelea kua naimani iyoiyo.
Mnadhani ndoa ni Njozi ilofanyika kweli kutoka mahali pasipojulikana?... Thubutuu
Anha kwahiyo unamaanisha hizo kazi zinakuwa exchanged na pesa si ndiyo?
Which means kama mwanaume hana/hampi pesa mwanamke wake basi huyo mwanamke hatakiwi kumfanyia hizo kazi yes?