Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

Hongereni kwa kuushinda ujana,

Mimi natamani kuingia huko tatizo hawa wadogo zenu wanatugeuza mitaji nikishaona hivo nabadli gia angani,
Mtu unakuwa na nia nae lakini kila unachomwelekeza anakuona kama umepitwa na wakati na Mimi sina moyo wa kusumbuana na mtu mzima tuliyekutana ukubwani
 
Scars najua hujakutana nae bado, na siku ukikutana nae utabadilika😊😊
Wakati wako ukifika usiache kuni tag
And i'm pretty sure akinibadilisha basi atakua amenitoa kwenye huu wema ambao niko nao kwa kiasi kidogo na kuwa wicked completely
 
They will tell you: ^Huo utumwa sasa!^ Wanasahau kwamba relationship ni UNION. I am afraid there are individuals confusing relationship & marriage union with mere cooperation where one of the party may at any moment decide on their own to do whatever they wish, even get to the point of pulling themselves out at will. I don't want to call this madness of worst magnitude.
 
Mataizo yanayovunja ndoa ni :-

1.Usaliti
2.Kupato Kuyumba
3.Afya ya viungo vya uzazi vikipoteza uwezo.

Hiyo namba moja ndio tatizo kubwa
Usaliti mara nyingi unasababisha kipato kuyumba na hata wanawake wengine wakiwa na stress haswa stress ya usaliti hawawezi conceive kamwe
Mungu utusaidie viumbe wake
 
Haha [emoji38]. Naona kwa mbalii unatafuta sababu ya kuwa serial bachelor. Ngoja mama D aendelee tu kutupatia masomo haya kuntu
 
Haha [emoji38]. Naona kwa mbalii unatafuta sababu ya kuwa serial bachelor. Ngoja mama D aendelee tu kutupatia masomo haya kuntu
Ubachela siyo mzuri kwanza unakuwa huna mipango ya mda
Mrefu,
hata nidhamu ya pesa ni zero kabisa ule Uhuru unalevya kupita maelezo kiongozi
 
Haha [emoji38]. Naona kwa mbalii unatafuta sababu ya kuwa serial bachelor. Ngoja mama D aendelee tu kutupatia masomo haya kuntu
Jasmoni Tegga muulize mdogo wako Ugobha hao wanaomgeuzaga mtaji anawapataga wapi na anawapataje?
Wakati naenda chuo baba yangu aliwahi kuniambia mwanaume anakokutana na mwanamke mara ya kwanza na njia mwanaume anazotumia kumpata mwanamke huyo ni viashiria tosha ya aina ya mahusiano yao huko mbeleni.
Wakati ule sikumuelewa mzee lakini umri ulivyokua unasogea nilikua kumwelewa sana☺☺
 
Ndoa ni kitu muhimu sana na lazima tukiheshimu, ingawa kuna changamoto zake. Kwa uzoefu wangu, changamoto zilizopo ni kwa sisi ambao nguvu bado ziko imara, unakuta kila wakati unahitaji..huku mwenzio hawezi kukuhudumia; sasa ukivumilia hapo,lazima utaona ndoa ni kama gereza....ila ukatafuta wa pembeni ambaye ni mstaarabu na mkamalizana kimya kimya....huku ndoa yako ukiiendeleza kwa upendo,maendeleo n.k nadhani Mungu pia anafurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…