Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,977
Huo usemi unasimamaa kwenye kuoa sio kuolewaKuna usemi naupenda sana, "kosea vyote usikosee kuoa au kuolewa"
Mkuu Hakuna asiyepeenda kuoa au kuolewa jambo linaloumiza kichwa wengi ni yupi sahihi wa kumuoa mana kila ninayepata ndo walewale hili jambo huwasumbua vijana wengi lkn wanasahau wao ndo walotengeneza mazingira hayo mpk kufikia ugumu huoHongereni kwa kuushinda ujana,
mimi natamani kuingia huko tatizo hawa wadogo zenu wanatugeuza mitaji nikishaona hivo nabadli gia angani,
Mtu unakuwa na nia nae lakini kila unachomwelekeza anakuona kama umepitwa na wakati na Mimi sina moyo wa kusumbuana na mtu mzima tuliyekutana ukubwani
Huko pembeni huko💣🙌Ndoa ni kitu muhimu sana na lazima tukiheshimu, ingawa kuna changamoto zake. Kwa uzoefu wangu, changamoto zilizopo ni kwa sisi ambao nguvu bado ziko imara, unakuta kila wakati unahitaji..huku mwenzio hawezi kukuhudumia; sasa ukivumilia hapo,lazima utaona ndoa ni kama gereza....ila ukatafuta wa pembeni ambaye ni mstaarabu na mkamalizana kimya kimya....huku ndoa yako ukiiendeleza kwa upendo,maendeleo n.k nadhani Mungu pia anafurahi.
Mkuu kotekote kwa wanawake na wanaume kuna kukosea. Wapo wanaume wanakosea kuoa na wapo wanawake wanakosea kuolewa pia.Huo usemi unasimamaa kwenye kuoa sio kuolewa
Mwanamke kamwe hakosei kuolewa yaani Mwanamke mpk anaingia kwenye NDOA huwa anajua nini anafuata na nani aolewe nae
Hii ipo tofauti kwa mwananume
Cha muhimu tu ujue unaenda kwa nani, ukikosea ndio balaa zaidiHuko pembeni huko💣🙌
Ni sawa na kukimbia mahabusu kwa kosa ambalo halijathibitishwa na kuishia kuingia gerezani kwa kosa la kukimbia mahabusu
Hakunaga kupatia huko pembeni. Weka kwenye akili yako tuu kwamba yoyote utakayemfanya mchepuko na yeye atakufanya mchepuko vilevile na kamwe hawezi kukupa nafasi unayoidhania umepata.Cha muhimu tu ujue unaenda kwa nani, ukikosea ndio balaa zaidi
Au unatafuta walioachika na waume zaoHakunaga kupatia huko pembeni. Weka kwenye akili yako tuu kwamba yoyote utakayemfanya mchepuko na yeye atakufanya mchepuko vilevile na kamwe hawezi kukupa nafasi unayoidhania umepata.
Flora hakukosea alikuwa aanajua anaolewa na mtu wa aina gani eidha aliamini atabadirika mbeleniMkuu kotekote kwa wanawake na wanaume kuna kukosea. Wapo wanaume wanakosea kuoa na wapo wanawake wanakosea kuolewa pia.
Kama huamini kamuulize madamflora
Wakati huo na wewe ujiandae kuachika kwa mke wako. Equation x wanawake sisi hamtujui. Tuna nguvu za aina yake zote nzuri na mbaya inategemea tuu na matumizi yenu wanaume. Unaweza kukutana na mwanamke kama malaika ila akibadilika humtamani, haijalishi ni wa pembeni au wa kati...Au unatafuta walioachika na waume zao
Dah hapo kwny school fees hapo ndio umenigusa...wiki ngumu sana hii mkuu mama DNdoa ni chama cha majukumu makubwa sana, majukumu ya kujenga familia na kujenga jamii bora na baadae taifa bora. Tulio kwenye ndoa tupongezane na wanaotegemea kuingia chamani mjue tuu hili ni jukumu zito lenye raha na starehe ndani yake nana linalohitaji watu wawili wenye upendo wa kweli, upendo ulio mkuu.
Starehe na raha ya ndoa haishushwi kama mana ilivyoshushwa kwa wana wa Israel kule jangwani bali inapatikana kwa kila mmoja kuwajibika katika nafasi yake na kujitoa kwelikweli
View attachment 1666412
Cc Kuhani Noah Ushimen mrangi Extrovert Equation x
Happy school fees week kwa wazazi wote
Unajua katika hii dunia Mungu hakupi vyote. Anaweza akakupa mwenzi mwema na mkafanikiwa katika hatua fulani....ila sasa upande mwingine wa mapenzi ukawa changamoto; unakuta mwingine ni mkata viuno vizuri, ila kwenye mambo ya maendeleo ni sifuri n.k ndio maana ukiona mwanaume anatembea huku akiwa anaongea au kutikisa mdomo mwenyewe jua kuna kitu kimemsibu.Wakati huo na wewe ujiandae kuachika kwa mke wako. Equation x wanawake sisi hamtujui. Tuna nguvu za aina yake zote nzuri na mbaya inategemea tuu na matumizi yenu wanaume. Unaweza kukutana na mwanamke kama malaika ila akibadilika humtamani, haijalishi ni wa pembeni au wa kati...
imagine hata sisi wenyewe kuna wakati hatujuagi hata tukoje🤣🤣🤣
Ndio maana Mungu aliwaambia muishi nasi kwa akili tuu
Flora hakukosea alikuwa aanajua anaolewa na mtu wa aina gani eidha aliamini atabadirika mbeleni
kwa namna alivyokuwa naye tangu awali wajati kati mahusiano ambapo wengi hukosea hapo
Na pengine aliolewa kwa kwa kuwa alitaka kitu fulani au kufikia hatua ama malengo fulani
Niamini dada mwanamke anajua fika huyu ninaeolewa nae ni majanga na anaweza ficha hiyo au vumilia miaka yote ya ndoani
Wanawake mnabeba mambo mengi mno moyoni
Ndio mana sisi wanaume tukaambiwa tuishi na nyinyi kwa akili na uislam umeenda mbali zaidi kwa kusema wakizingua DUNDA piga kwa kiasi ili dishi likae sawa maisha yaendelee
View attachment 1666605
Elimu bure mkuu,kwa nini ujiteseDah hapo kwny school fees hapo ndio umenigusa...wiki ngumu sana hii mkuu mama D
Hongereni kwa kuushinda ujana,
mimi natamani kuingia huko tatizo hawa wadogo zenu wanatugeuza mitaji nikishaona hivo nabadli gia angani,
Mtu unakuwa na nia nae lakini kila unachomwelekeza anakuona kama umepitwa na wakati na Mimi sina moyo wa kusumbuana na mtu mzima tuliyekutana ukubwani
Nzuri hii. Sema dah...Ngumu kwetu sote. Hebu tuchezeni mchezo wa kupeana pesa kila wiki watoke watu2 tumalizane na hawa madogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa.Haya ni mawazo yenye sura ya ubinafsi mkubwa. Na ukiwaza hivyo ndoa achana nayo
Dah mzee baba huko niliondokaga Equation xElimu bure mkuu,kwa nini ujitese