Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

Hiyo namba moja ndio tatizo kubwa
Usaliti mara nyingi unasababisha kipato kuyumba na hata wanawake wengine wakiwa na stress haswa stress ya usaliti hawawezi conceive kamwe
Mungu utusaidie viumbe wake
Usaliti sio ishu kama hela ipo, ndio maana penye hela hata mume akiwa mwendawazimu mwanamke atatulia tu na hii ni by 90% rate ya ndoa.

Shida ni hela iwe hamna au ya kuunga unga halafu kuwe na madhaifu mengine hapo ndio utazijua rangi halisi za mwanamke 😂😂😂
 
Hii conception iko sawa haswa, ndoa ni coordination ila ukija kwenye uhalisia hio coordination ndio huwashinda wanandoa wengi.

Matokeo yako ni kuona kama unamfanyia favors mwenzio kwa kuwajibika kwako kama spouse mwisho wa siku ndio tunaishia kwenye lawama.

Ooh, lile ni jukumu lake yeye kwanini nimfanyie mimi? Kwani ukifanya unavunjika wapi mama au baba? Do it in compassion sababu yule ni sehemu ya maisha yako.
 
Hahahaha we fala ulivyoongea kistaarabu utadhani mtu flani mwenye hekima ila umemalizia kihuni kweli 😂😂😂 eti hata mungu atabariki tu.

Shida ndio hio bana watu tunataka burudani ila unaishia kuambiwa nimechoka kila siku.

Unajiuliza hivi hii ng'ombe inahisi nimeileta inipumulie tu hapa ndani, i have an ac that does that job already! Kuna beki 3 wa kunipikia na kufua as well!
 
Usaliti sio ishu kama hela ipo, ndio maana penye hela hata mume akiwa mwendawazimu mwanamke atatulia tu na hii ni by 90% rate ya ndoa.

Shida ni hela ikiwa hamna kisha kuwe na usaliti hapo lazma pachimbike. 😂😂😂
Mimi ni nani nikubishie wewe mwanaume unaesaliti?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila tuseme tuu wote mwanaume na mwanamke wakitafuta pesa heshma kwaajili kunyamazishana basi na ile maana ya ndoa inazidi kuwa tata
 
Mimi ni nani nikubishie wewe mwanaume unaesaliti?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila tuseme tuu wote mwanaume na mwanamke wakitafuta pesa heshma kwaajili kunyamazishana basi na ile maana ya ndoa inazidi kuwa tata
Mimi sisaliti bana ila hata before marriage kuna mengi sana nimejifunza. Wanawake wanapenda un divided attention.

Pia unapomhitaji mwanamke sio kila mara atakuwa available ila anataka wewe uwe available kwake muda wote😂😂😂! It really sux kama mtu alitegemea ndoa ni asali na maziwa it isnt like that.
 
Sasa tufanyaje?

Au inabidi tufanye harakati za kudumisha mila ili turudishe na ya maisha ya mababu zetu tuweze kuwa na zile ndoa za kimila ambapo wanaume wanaoa wanawake wowote wanaoweza?

Ila wanaume mkumbuke wale mababu waliokua na miji mingi, wake wengi na watoto, ni wale tuu waliokua na mali nyingi😎😎
 
Hilo halina haja kwa sasa ndio maana watu wanajipatia huduma free tu 😝 huna haja ya kuwa bhakressa ili upate xtra papuchi.

Kwani ugumu wa kuwajibika kama mke uko wapi?
 
Hilo halina haja kwa sasa ndio maana watu wanajipatia huduma free tu 😝 huna haja ya kuwa bhakressa ili upate xtra papuchi.

Kwani ugumu wa kuwajibika kama mke uko wapi?
Kha! Extrovert wacha fujo

Kwa hiyo mwanaume akiwa na pesa akatafute mwanamke wa kumuwajikia anavyopenda jna mwanamke akiwa nazo pia akatafute.

Sasa kuna maana gani ya kuendelea kuishi pamoja?

Kuna sehemu tunakosea
 
Nop, mie napenda yale mazingira ya uchumba yadumishwe kwenye ndoa tu. Hivi kwanini kwenye uchumba licha ya mazingira magumu ila papuchi kupewa ni constant.

Ila kwenye ndoa ambapo mnalala nyumba moja na zaidi kitanda kimoja ila usumbufu ni wa kiwango cha Dreamliner? Je, unajua ule usumbufu ndio kichochoeo cha usaliti nambari 1?
 
Mwenzio akibadilika akaanza huo ujinga mwambie aache mara moja kabla hujashawishika kutafuta mbadala🤣🤣🤣
Tena mwambie kwa sauti ya kutosha kwamba mume hasumbuliwagi💃
 
Mukoje kwani ata munataka kumsingizia shetani
 
Mwenzio akibadilika akaanza huo ujinga mwambie aache mara moja kabla hujashawishika kutafuta mbadala🤣🤣🤣
Tena mwambie kwa sauti ya kutosha kwamba mume hasumbuliwagi💃
Ndio maana tunajikutaga tumejimix na akina mama D. Unaona kabisa signs zote za kujaliwa ziko kwa mama D sasa kwanini nisijiweke kwake. Basi ndio hivyo siku zinaenda mpaka siku wife akigundua anaishia kujiliza liza.
 
Mukoje kwani ata munataka kumsingizia shetani
🤣🤣🤣🤣Said Cosmetics Mungu mwenyewe tuu ndio anajua vile tupo.....
Na ndio maana hakuanza kutuumba sisi, ndio maana hakusema sisi ndio tuwe kichwa/viongozi wa familia , na ndio maana aliona wanaume bila sisi hamuwezi kuwa kamili akaamua atuumbe tuwe wasaidizi wenu.
Ila akawaambia kabisa muishi na sisi kwa akili🙌
 
Sawa mama wala hatuna neno tunaishi nanyie kwa akili zaidi simu zote mkononi,kila kitu mkononi ili tujiongeze
 
Ndio maana tunajikutaga tumejimix na akina mama D. Unaona kabisa signs zote za kujaliwa ziko kwa mama D sasa kwanini nisijiweke kwake. Basi ndio hivyo siku zinaenda mpaka siku wife akigundua anaishia kujiliza liza.
Ukijimix na kina mama D hujamaliza tatizo lakini.... Ujue tuu mama D nae Ana issues zake zitakazokufurahisha na zitakazokukera😂😂
 
Sawa mama wala hatuna neno tunaishi nanyie kwa akili zaidi simu zote mkononi,kila kitu mkononi ili tujiongeze
Hahaha🤣🤣🤣🤣🤣 Happy New Year Said
Ukawe mwaka wa furaha na mafanikio kwako
 
Ukijimix na kina mama D hujamaliza tatizo lakini.... Ujue tuu mama D nae Ana issues zake zitakazokufurahisha na zitakazokukera😂😂
Ila possibility ya kukujali ni kubwa sababu kinachowakutanisha ni common interest tu. Pengine mama D naye jamaa yake hampi enough time so tuna compromise 😍
 
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Happy New Year Said
Ukawe mwaka wa furaha na mafanikio kwako
Na kwako pia mama nawe tunawatakia week njema ya ada.vipi ule mpango wa kuchangia weekly pesa ya ada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…