Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

Ila possibility ya kukujali ni kubwa sababu kinachowakutanisha ni common interest tu. Pengine mama D naye jamaa yake hampi enough time so tuna compromise 😍
Sasa kwanini ushinde mchana wote kwa furaha halafu ukalale kwa stress. Ufanyike mpango urasimishe halafu uone kama hujaanza kusema heri kule nilikotoka🀣
 
Sasa kwanini ushinde mchana wote kwa furaha halafu ukalale kwa stress. Ufanyike mpango urasimishe halafu uone kama hujaanza kusema heri kule nilikotoka🀣
Hahaha kurasimisha mara mbili si hAiruhusiwi kwa mujibu wa papa katoliki 😝...
Cha msingi ni kupeana burudani tu kisha kila mmoja arudi kwa pasua kichwa wake siku ziende.
 
Na kwako pia mama nawe tunawatakia week njema ya ada.vipi ule mpango wa kuchangia weekly pesa ya ada
Yaani wewe acha kabisa.... yaani alfajiri na mapema tuko barabarani, kitanda kichunguπŸ™ŒπŸ™Œ
Hivi tukiwa watu wangapi tunaweza kufanya jambo letu
 
Yaani wewe acha kabisa.... yaani alfajiri na mapema tuko barabarani, kitanda kichungu[emoji119][emoji119]
Hivi tukiwa watu wangapi tunaweza kufanya jambo letu
Hata kumi tu kwani ada shi ngapi kwanza tuanzie hapo
 
Hahaha kurasimisha mara mbili si hAiruhusiwi kwa mujibu wa papa katoliki 😝...
Cha msingi ni kupeana burudani tu kisha kila mmoja arudi kwa pasua kichwa wake siku ziende.
Kunaruhusiwa buana. Kama mnachepukiana katafute haka kamstari "Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi"
 
Hata kumi tu kwani ada shi ngapi kwanza tuanzie hapo
Mahitaji yanatofautiana, pesa haijawahi kukosa matumizi. Ila hao 10 wanamudu kuchangia sh ngapi kwa wiki au mwezi?
 
Ingekua powa sana ila shida ni sisi walimwengu.... Mimi naweza kuchukua wa kwanza na usinione tena.
Tununuage vibubu tuwe tunadumbukiza humo
Kwanini nisikuone wakati dunia iko kiganjani muone vibubu sawa labda vya chuma sio mbao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…