Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Et exactly , ukae na asie na pesa utakula mawe ? Mnaongopea vijana wadogo.
Kasema pesa sio kipaumbele. Ina mana hata akikukuta unajitafuta kwake sio issue sana. Kuna wale wanawake kama huna hela ya kueleweka nae hatokaa akuelewe mana katanguliza pesa mbele kabla ya yote.
 
Kasema pesa sio kipaumbele. Ina mana hata akikukuta unajitafuta kwake sio issue sana. Kuna wale wanawake kama huna hela ya kueleweka nae hatokaa akuelewe mana katanguliza pesa mbele kabla ya yote.
Kama ni kujitafuta ,ujitafute na kujipata haraka sana kinyume na apo ni kilio na kusaga meno.
 
Ndoa ni mume na mke wanaoishi pamoja.
Hiyo dhana na maana uliyonayo akilini haipo kwangu
Mwanamke anayekaa kwao ila amezaa na mwanamme, mwanamme anataka waishi wote walee mtoto wao na yupo tiyari kupeleka mahari ila mwanamke anagoma kisa anataka afanyiwe sherehe ya harusi. Hiyo scenario unaonaje?
 
Mwanamke anayekaa kwao ila amezaa na mwanamme, mwanamme anataka waishi wote walee mtoto wao ila mwanamke anagoma kisa anataka afanyiwe sherehe ya harusi. Hiyo scenario unaonaje?

Huyo ni mjinga aliyeathiriwa na mila potofu.
Pia Mwanamke anayekupenda hawezi kuwaza mambo hayo sijui ya harusi sijui mahari ati ndio ukaishi naye. Mwanamke anayekupenda atafanya chochote kwaajili yako.

Ikiwa unaweza kufanya chochote kwaajili ya mkeo au mkeo anaweza kufanya chochote kwaajili yako hiyo ndio huitwa NDOA
 
Wewe unavyotafsiri ndoa ni tofauti na wadada wa siku hizi wanavyoichukulia. Wao wanadhani ndoa ni kufanya sherehe na kupewa cheti. Na wakishanfanya hayo hamu ya ndoa inakuwa imeisha na muda wowote wako tiyari kuachika.

Vijana siyo kwamba hawataki ndoa, sema tafsiri ya ndoa wameipotosha.
 

Ndoa ni kuishi mwanaume na mwanamke kiunyumba hiyo ndio ndoa.
Wazazi, serikali, na taasisi zingine sio part ya Ndoa. Kipi hakieleweki.

Sio lazima mzazi ajue. Ndio maana unaweza ukaoa wakati wazazi wako hawapo(wamekufa)
Ila kwa heshima wazazi watajulishwa.
Dini na ndoa ni mambo mawili tofauti kabisa.
 

Asilimia kubwa 70% ya ndoa unazoziona hawajafanya hizo harusi na wala hakuna hivyo vyeti.
Sijui kama unajua hilo
 
Mungu aliuma mtu mme na mtu mke kutoka katika ubavu wa mtu mme, na hao wawili wakawa mwili mmoja. miili yetu imeumbwa na tamaa ya kujamiiana, pia tunahitaji kuzaliana, ndio maana alisema enendeni mkazaliane mkaijaze nchi, kwasababu alitaka tuwepo kwenye ndoa. na akaweka sheria kwamba kufanya mapenzi nje ya mke wao ni dhambi (uzinzi au uasherati) na watu kama hao hawataurithi ufalme wa Mungu. ushauri wangu kwako, jitahidi uoe au uolewe, kwasababu kutakupunguzia na dhambi za zinaa. pamoja na kwamba hata walio kwenye ndoa wanafanya zinaa lakini walau ipo sehemu ya kwenda kupumzika kuliko kukosa kabisa. kuna watu wengine hawapendi kabisa kuzini, lakini ni kwasababu hawajaoa au kuolewa na miili yao inahitaji icho kitu. na pamoja na kwamba Roho Mtakatifu anawashuhudia kwamba hawatakiwi kuzini hata kabla hawajavua nguo, lakini hawawezi kushinda dhambi hiyo bila kuokoka, manake kuokoka ni kusafishwa na kupewa uwezo wa kushinda dhambi kwa Nguvu za Mungu.

CONCLUSION: Okoka, mpate mwenza ambaye ameokoka kama wewe usiishi na nyoka ndani, then furahia maisha ya ndoa. huko nje utafeli tu, hata watawa ukiwakamata mmoja mmoja kingekuwepo kipimo cha kupima kama ni bikra au la au kama wamezini au la, wote wangekimbia.
 
Kwahiyo hapa point ni nini? Tuowe Malaya expensive wauza kummer?
 
Mwanamke anayekaa kwao ila amezaa na mwanamme, mwanamme anataka waishi wote walee mtoto wao na yupo tiyari kupeleka mahari ila mwanamke anagoma kisa anataka afanyiwe sherehe ya harusi. Hiyo scenario unaonaje?
Kuna tofauti kati ya harusi na ndoa, ndoa ni agano, harusi ndio hizo showoff za ukumbini ambazo si lazima kama uwezo hauruhusu.

Halafu nawashangaa waislamu nao wameingizwa mkenge na wachaga na wakristo, siku hizi wameacha utamaduni wao wanawaiga watu waliopotea.

Waislamu walikuwa sahihi Sana kwenye maswala ya ndoa, lakini sasa hivi nao wamepotea, wamedandia treni wasioijuwa kwamba hao abiria wenyewe waliopo kwenye hiyo treni wanataka kushuka.
 
Hao ni wanawake wa zamani, walikuwa wanajua umuhimu wa familia na wako tiyari kusettle.

Hawa wa sasa, wanataka sherehe na ndiyo maana wana mahusiano na wanaume zaidi ya 5 kwa wakati mmoja.

Wanawake wa zamani na sasa ni walewale
Hakuna tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…