Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Wapo wanawake ambao pesa sio kipaumbele namba moja.
Hata hao ambao wanaonekana pesa kwao ni kipaombele ni kutokana na kuumizwa na kutapeliwa na wanaume.

Mwanamke akikupenda pesa inakuwa mbali na akili yake
Nakazia...nakazia mkuu
 
DDah haya maneno yanaumiza kwa sisi tuliooa ambao sio bikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…