Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,429
Reaction score
4,125
Shikamoon wakubwa, wadogo zangu hamjambo.

Siwezi kuwa mnafiki,ndoa ni moja ya nguzo ya lazima,na napenda sana niwe na mtu sahihi ambaye tutaheshimiana.

Mapenzi ni kama majani huota popote vilevile,mpenzi atapatikana popote iwe jamiiforum,mtaani na kila sehemu.

Lakini ni yupi mume mwema na bora,umri unaenda,nachukia zinaa,sipendi kuwa na mtu eti boyfriend,wakati hajanioa, Kila mwanaume nayekutana naye namuona waluwalu hajatulia,Wana papara ,hawana subira.

Eti mtu anakutongoza leo mara anataka muonane badae then unakubali kuwa tutaonana ,sasa subiri akutajie ni wapi muonane, Mara lodge au gest,looooh yaani hata saa 24 hatujafika mara oooh ....

Mwingine anatuma hela ,halafu anakwambia tafuta lodge ya hiyo pesa kisha nije,jamani wanaume mmerogwa na nani,

Mnashindwa hata kuwa na aibu basi, pengine nitakupenda mwenyewe.

Na hamjui kama ukipendwa unapunguziwa majukumu kuliko kujitia hasara kumbe pengine sikupendiiiiiii.

Haoooooh waone kwanza,boksa hamfui,jinsi hambadilishi,mnaendesha magari ya kuazima ,siyo kila mwanamke ni wa kupagawa na vitu vya kijinga.

Mwingine alinikuta mgahawani nipo na simu yangu ndogo kitochi ,akajipendekeza mara oooh nitakununulia iPhone 11 hata plain tu, nikamwambia kama Una pesa nipe kabisa,lakini maana simu ninayo ,asianze konakona nini?

Mara oooh tukionana,mara nyumbani kwangu ninayo nitakupa,oohhh masikini ,nikamwambia aniletee Kesho yake.

Kwanza cha kuchekesha alikuja na gari fulani hivi ya kizamani, nikaona siyo mbaya,cha pili nguo ni zilezile habadilishi mbaba wa watu,cha mwisho ananiletea iPhone ya kizamani,ina batani katikati,ikabidi nimtolee tu simu yangu kwenye mkoba, jasho likamtiririka Kwa aibu.

Tena weee mbaba ukome Dunia hii unatumia Samsung S10,halafu unataka wanawake wazuri,looooh ukome ,kunipigia,Una bahati Sheria za hapa haziruhusu,ningekuanika
 
Kazi kweli kweli. Nani kakuambia ujaribu kila mwanamme?
 
Hakuna wa kunichezea na hayupo
Jambo gumu ambalo nimekubaliana nalo ni kua nchi zetu hizi kufikia Dunia ya kwanza labda Mungu aingilie kati.

Hamuwezi kua mnazalisha Nyambizi, ndege za kivita, mitambo mizito, satellites au robots mkawa mnasumbuana na jezi za vyama haiwezekani.

Inauma sana ila kweli utaendelea kuchezewa dada Mere.
 
Unajua kwa nini? Bado una mentality ya kuplay, hii stori yako tu inaonesha bado hujafikia criteria ya kuolewa. Bado unaringia macho MA3. Binafsi naona ni bora waendelee kukuchezea tu
Ameshaonesha yeye ni mwanamke wa mjini
 
Tatizo ulileta uzi huku una nyege, sasa utampata vipi mwanaume wa kukufaa humu ndani?

Huyo aliyekutumia pesa akakwambia tafuta lodge ya hiyo bei, ni kwasababu ulishameambia shida yako ndio maana akataka kukusaidia.

Gen Z punguzeni mbio zenu humu ndani, zitawatokea puani.
 
Inaonekana wewe ni kivuruge haswa na umedate na wanaume wengi ambao ni choka mbaya wanywa kimpumu na machicha
 
Ukifikisha miaka 35 bila mume akili yako itakaa sawa kabisa ww endelea jiona bado binti mdogo unakuka vya watu tena kwa dharau juu
 
Back
Top Bottom