Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

Nimezaliwa na kukulia familia yenye magari,hiyo Spacio yako ni gari gani,inatoa moshi kama nini,
Nipishe hukoooo 😂😂
achana na suala la gari langu kutoa moshi, kwani unanitaka mimi au unataka gari lisilo na moshi. kama umezaliwa kwenye familia yenye magari huwezi kuikosoa spacio

halafu pole sana uwezo wa kununua gari kubwa zaidi ninao, nilitaka kupima uvumilivu wako tu
 
Huna uwezo huo na lile gari uliazima
 
Mpaka umejua wahuni hawafui boxer tayar inaonyesha kilometer zishazoma nyingi, atakayekuja kukuoa lazima ashushe engine ifanyiwe overhaul na kubadilisha mswaki ndo a settle na wewe
 
Back
Top Bottom