Ndoa ni uvumilivu lakini inaweza kukaribisha umauti.

Ndoa hizi nimependa ushauri wako wa mwisho kabisa
Ndio hvyo mamiii....

Kuna rafiki yangu mmoja huwa yeye kaoa akiwa mdogo bado hajamaliza ujana,huwa anarudi asubuhi kila wkend[emoji23][emoji23]..mke wake kamlipa moja jamaa kachanganyikiwa
 
Vipi hayo yakishindikana??

Ushauri wangu ni wa mwisho kabisa baada ya yote hayo kushindikana baba mchungaji
 
Samahani nipo nje ya mada kidogo.. Hv nyie wanaume wenzang mnawezaga vp kuwa na urafiki na wadada ad mnapigiana simu mskilize ubuyu wa clouds..
Mkuu ulitaka niseme ni mchumba,mke au helofrend ndio kaniambia nisikilize??

Sio lazima kuweka details za ukwel sehemu zote
 
Ndio hvyo mamiii....

Kuna rafiki yangu mmoja huwa yeye kaoa akiwa mdogo bado hajamaliza ujana,huwa anarudi asubuhi kila wkend[emoji23][emoji23]..mke wake kamlipa moja jamaa kachanganyikiwa
Na usiombe mwanamke awe amekuvumilia amechoka utajuta huyo rafiki yako natumai amebadilika eti
 
Ni hatari kuchukua sample ya ndoa moja na kukonkludi kuwa ndoa zote ziko kwa mtindo huo.

Ukweli ni kwamba ndoa nyingi ziko salama sana kulinganisha na chache sana zenye matatizo.
Shikamoo babu
 
Huu mkasa wa kusikitisha nimeufatilia toka jana katika kipindi cha HEKAHEKA-CLOUDS FM.BINADAMU TUMRUDIE MUNGU,Kweli inasikitisha sana.EE mungu naomba uzibariki ndoa zote watu wako waishi kwa upendo na kukutumikia wewe.TUKUMBUKE AMRI KUU YA MUNGU NI UPENDO.
 
I don't buy the argument eti unavumilia kwa ajili ya watoto. Sheria zipo go to Court omba custody and maintenance ya mtoto
 
Amen
 
Kwahiyo jamaa likamuua mke wake maana alikuwa hataki kuondoka licha ya kumpiga matukio,utakuta wamelipeleka na lenyewe gerezani kule walikowekwa matajiri akina rugemalira na seth
 
utaelewa kwa nini Nuhu aliwabeba wanyama wengi kuliko binadamu
Wanyama walikua aina tofauti walichukuliwa kwa pair, binadamu ni aina moja. Kama sijakosea.
 
I don't buy the argument eti unavumilia kwa ajili ya watoto. Sheria zipo go to Court omba custody and maintenance ya mtoto
Tryna see where I asked anybody to specifically agree with me.
Nilichosema ni kwamba wanawake wengi kwenye ndoa wanavumilia kwa ajili ya watoto wao. And that's the truth.
Na sijasema kwa kufanya hivyo wapo sahihi au lah, nimesema kitu kilichopo na ninachokiona kwenye jamii iliyonizunguka. That's all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…