Huwez kuchukua sampo ya ndoa moja kuhalalisha ubaya wa ndoa, shetan amekutawala kias cha kuamini kuwa ndoa si kitu ili uwe mzinzi,
Ukatili wa mtu mmoja haimaanishi kila mmoja ni katili
Na usaliti wa mwanamke mmoja haihalalishi ujinga wa wanawake wote.
Ningekuona wa maana kama ungeeasisitiza wananandoa kuwa wazingatie mafundisho ya dini na kuwa na hofu ya Mungu wanapokuwa ktk ndoa zao
Mfano, usaliti ni kinyume cha maagizo ya Mungu ktk ndoa, na mshahara wa uahserat ktk ndoa ni mauti, pili kumsulubu mkeo kwa vipigo au ukatili ni kinyume pia cha maagizo ya ndoa
Biblia inasema, enyi wanaume wanaume wapenden wake zenu, na wanawake muwatii waume zetu
Hivyo mwanaume kumdhuru mkeo syo upendo na mke kumsalit mumeo syo utii
Ubaya wa ndoa moja hauhalalishi ubaya wa ndoa zote