Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Salaam jamiiforum
Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia
Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa na mipango na mikakati ya kueleweka huku wale wenye GPA zao wakiwa bado hawana ramani
Leo tuangalie (tuangazie) suala la ndoa Kwa vijana haswa wa kiume hili limechukua Sura mbaya na ya kutisha haswa Kwa vijana wa kizazi hiki
Ndoa inaliza vijana,ndoa inateketeza vijana ,ukiona kijana anakimbilia,uraibu wa kamari,pombe,madawa na starehe nyingine zisizo na maana ujue Kwa asilimia 75 mahusiano yanachangia
Lakini yote Kwa yote Mimi nashauri vijana waoe, ndoa ni msingi imara na huleta heshima Kwa jamii huku kukiwa na utulivu hata kwenye utafutaji wako
Kuwa na wanawake wengi ambao ndugu na familia yako hawawatambui,huku ukiwaita mademu zako ni kujidanganya
Kutokumiliki mwanamke Kwa kuogopa kutendwa huku ukinunua Malaya kila kukicha ni kukaribisha magonjwa na mikosi ,,
Ewe kijana huwezi shindana na jinsia KE ,cha muhimu fanya haya kunusuru ndoa na mahusiano yako
1.Mbembeleze mkeo
Anaweza kununa tu bila sababu ukijiuliza kosa hulijui,huenda ni kazini au majirani wamemvuruga,cha muhimu muite hata chumbani zungumza naye kiupole mpe maneno mazuri atarudi kwenye hali yake
2.Penda kumpa Suprise anazozipenda
Yaani ghafla tu anashangaa unampa simu ya gharama,hereni,high heels azipendazo,na sets za chupi bila matarajio,inaongeza chachu na kukumbukwa
3.Onesha kujali (hata kinafiki)
Akikwambia anaumwa (hata kama huna pesa) onesha mshtuko huku ukijifanya unakosa Raha kuliko yeye,hata muwapo hospital,zuga jifanye unawasumbua na kuwakera madaktari,ukiulizia hali yake kila saa
4.Jifanye unawajali ndugu zake
Kikawaida hakuna mtu anayependa ndugu wa mwingine kuliko ndugu zake na familia yake,ila wee zuga usije kuonesha huwapendi ndugu zake hili litakufanya uonekane Una roho mbaya hakuna mfano
5.Akikushirisha kitu cha kipuuzi msikilize
Mfano unaitiwa kitu kwenye TV,au unaonesha jinsi friji linavyogandisha vizuri,au unapewa umbeya wa majirani,sikiliza ukihisi anataka ucheke,basi cheka kuridhisha moyo wake
6.Mshirikishe vitu fulani (hata vya uongo)
Jifanye kama vile kuna dalili za kutaka kushushwa cheo,au kuhamishwa kazi,kisha muombe ushauri nini ufanya, reaction yake utaiona
7.Usije kuonesha unamsaliti.
(Oyaa wee) We msela ,we mwamba,kama unataka kuonja joto la jiwe na kuweka rehani heshima yako isikike harufu ya usaliti Kwa mkeo,nakwambia kisasi chake hutaamini labda kama hukumpenda kihiiiivyo
8.Mkumbushe Uzuri wake (hata kinafiki)
Yaani mwambie ni mzuri ndiyo maana ulimuoa au upo naye,hata akikubishia msimamo wako uwe huo ikiwezekana,(hata kitandani) mwambie yeye ni fundi ndiyo maana unapata utulivu
9. Usiwe mnyonge, Mwanaume haendeshwi ,mwanaume ndiye kila kitu,onesha misimamo ya kiume ,yaani kuwa na sura mbili,
Wanawake hawapendi mwanaume boyaboya,siku moja ukiona dharau fungia chumbani piga vibao viwili,huku ukionesha msimamo,kama anakupenda,hakukimbii ndoa itakuwa imara,ila kama umeajiri kuliko kuoa basi umekwisha, maana kuna wanawake wameolewa na watu ili kutafuta maisha yao
10.Oohoooo,kijana ndoa ni Kwa mwenye akili timamu na anayependwa kama huna hivi vigezo viwili basi usioe
NDOA NI GEREZA