Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

20260304_204306.jpg

Ndoano
 
1.Mbembeleze mkeo

Anaweza kununa tu bila sababu ukijiuliza kosa hulijui,huenda ni kazini au majirani wamemvuruga,cha muhimu muite hata chumbani zungumza naye kiupole mpe maneno mazuri atarudi kwenye hali yake
Hii nakubari kwa asilimia kadhaa ila uwe muongeaji mzuri, aisee nakumbuka niliuza maneno nikapigwa cha mbavu nakurudi tena kuuza maneno nikachezea tena cha mbavu sikuchoka nikarusha tena wavu nikachezea cha ubavu dakika za jioni kabisa nishakata tamaa nikatupa ndoana huku nikisema potelea pote oya mtoto kajaa kwenye line huyu hapa, ataitwa mamananii very soon
 
Ninyi ndio mnao shoneshwa majava kwa vitenge na wake zenu ili mradi tu unatimiza hiyo no3 na no8.

Ndoa haina mwongozo (formula) fanya hayo yote na mengine uongezee ujuavyo lkn bado huta win akiamua kushika njia yake.
Hivi mkeo alikukubaria direct tu km jike la bata au ndio ilikua michezo ya jogoo na tetea fukuzia sana mtoto anachomoa kila ukitumia mbinu zako za kivita mtoto hajai kwenye mfumo?
 
Back
Top Bottom