Kwamba wanazibuliwa? 😁Wanaume wanaopinga ndoa Dunia imeshawatambua kuwa wanazibuliwa mitaro,wana wivu mkubwa Sana na wanawake walio kwenye ndoa kama vile wivu wa mchepuko Kwa Mama mwenye mali. Sasa mimi nianze kutolea evidence umuhimu wa ndoa kushindana na mashoga ni kujishushia heshima yangu,na ni kujidhalilisha Kwa kiwango kikubwa sana.
Ukweli ndio huo mkuu,wanaume wanaokataa ndoa wanazibuliwa mtaro.Kwamba wanazibuliwa? 😁
Kama ni mwanaume nenda ukacheck hormones zakoKataa ndoa. Ndoa ni utumwa. Hata wengi wanaozipigia debe wapo humo kwa mateso makali hawana namna[emoji3][emoji3]
Unapingana na maandiko To Yeye?Wakataa ndoa???? Hakuna ambaye hataolewa Wala kuoa....ni wakati tu.Time will tell
Kabisa n suala la mudaWakataa ndoa???? Hakuna ambaye hataolewa Wala kuoa....ni wakati tu.Time will tell
Na kwenye ndoa Kuna kheri nyingi zinapatikana piaKatika Uislam ndoa humfanya mwanaume kukamilisha dini ya Mwenyezi Mungu (s.a) pia swala la aliyeoa ina daraja kubwa kuliko ya asiyeoa.
Yeah sureKabisa n suala la muda
We tulia tuUnapingana na maandiko To Yeye?
Na kwenye ndoa Kuna kheri nyingi zinapatikanaKatika Uislam ndoa humfanya mwanaume kukamilisha dini ya Mwenyezi Mungu (s.a) pia swala la aliyeoa ina daraja kubwa kuliko ya asiyeoa.
Ndo mdauHiyo kitu umeijulia wapi mkuu
Waoe ila wasifunge ndoa ili wakiachana wasibaki masikini 50 kwa 50 maliVijana oeni acheni kujaza ujinga
Hata mashoga wanatetea ndoa za jinsia moja *****. Hawapishani na wanaotetea ndoa wengine.Mashoga lazima wapinge ndoa