Ndoa ya 3 ya Dida yavunjika..


yule ni kunguru asiyefugika maana dida mcharuko hasaaa na hao wanaomuoa wanajitahd ajirekebishe bwana
 
we acha tu binamu nimevamiwa na boko haramu, jana nilimiita mume wa mbasha mapu.... ndo eti nikapewa ban leo

Binamu punguza kuchambaa bana halaf niwekee picha ya dida nione alivyojichubuaaa
 
Smartapartments una lako jambo na wewe, kama mtu unajiamini huna michepuko kwann uweke password na lock za kufa mtu? Kama mtu hujawa tayari kuoa si ule maisha kwanza? Ukishaingia kwenye ndoa si mnakuwa mwili mmoja? Siri za nn tena?
 
Ila Edzen anaendana na Jokate ! Nasema tu kwa Mfano .....Anyway Another Ndoa Ndoano za Bongo acha Nikalime miye ...

naunga mkono hoja,nilijua tu hawatafika mbali,maana hawaendani ht kidogo
 
ooops hatari zaidi yaani haya mambo ya mapasiwedi haya mmh
 
Binamu punguza kuchambaa bana halaf niwekee picha ya dida nione alivyojichubuaaa

we acha tu wenzetu khanga moko washaonja joto la jua walijifanya wajuaje wakapigwa risasi za ------ maana ndo walikuwa wanayatingisha sana, sasa na sisi midomo yetu hii hakyanani siku utasikia warumi kalamba risasi za mdomo , maana siku iz nimekuwa nuksi
 

Ushatafuna dida?
 
Aiseeee.... naomba niulize tu, data huwa unazinyaka wapi??? Maana ww ni mtata!
 
Binamu punguza kuchambaa bana halaf niwekee picha ya dida nione alivyojichubuaaa

ivi ulimsikiaga maimartha alivyosema mwezi huu wa ramadhan mkorogo utamkoma? halafu si nasikiaga anauza ma dildo yule
 
hii quote inatokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…