gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Kimsingi ni dida ndo alitapeliwa!
Heheheheh naona maruweruwe sasa is dida that worth labda?
Is she loaded maana kama ametapeliwa obvious lazima jamaa aliona mbali
Give me clue luv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimsingi ni dida ndo alitapeliwa!
Ana miaka 23!
kama unasikilizaga kile kipindi chake cha taarabu basi ndio maneno yake akiwa chumbani haswa kwenye 6 kwa 6 ana mauzi flani hivi ya ndani kwa ndani anapenda kukusema vibaya hata kwa jambo dogo nilitembea nae siku moja but sikuinjoy kabisa nilikereka sana
Hihii jaman kumbe una miaka 24 kama wema?
mmh kama boko vile
mmh kama boko vile
Hihii jaman kumbe una miaka 24 kama wema?
Wema ana 22 wewe!!
Mzima mie.... nimekumiss jukwaani
Nilitaka niulize na mimi maana kutwa yeye kubadili ndoa tu
ah..dida tena....?
hivi yule kijana anayehost kipindi na kidot pale tv one ndio alilioa hili kulumbembe? kama ndiyo yeye basi uchawi upo duniani.