Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mawili hii ni chai na umeamua kutetea kambi au ni ukweli ila haujui kifuatacho ITV.Hii imani nilikuaga nayo na niliwahi sema sitooa mchaga. Kilichonikuta ni kuwa my wife ni mchaga,na hata kabla yake niliekua nae ni mchaga. Ajabu ndo kanivumilia kiasi ambacho madem wengi hawawezagi kuvumilia dadadeki maana baada ya kutumbuliwa yale maisha nilopitiaga only God knows. Na ali-hang on na hamna alieamini ukizingatia ni pisi kali. Ye alikua anapiga tu maombi maana nilimuachishaga kazi ya ualimu kijijini huko ili tulee nimfungulie mini supermarket na kazi ikaisha kabla sijafungua. Nimeamua kucomment baada ya kuona unamtazamo ambao ni too general kwa wachaga wakati mi nimeshuhudia masela kibao wakiachana na wake zao ambao si wachaga baada ya kazi kuisha. Namimi ndo nikapitia life la tabu sana na ndo the only comfort I had yeye na my kids maana hadi ndugu wa tumbo moja nao kiaina walinihukumu. Nilishaga koment pia kwenye uzi flani humu kama 3 years ago kuhusu tuliokuaga vizuri afu tukafilisika. Amefanya niheshimu sana hili kabila maana yale maisha baada ya kutumbuliwa ilikua aibu aisee,kati ya vitu huwa namshukuru Mungu katika maisha yangu ni kunipa huyu mke aisee maana we were tested to the limit na it took time kuinuka kama 4 years. Na huwa sielewagi wanaoshauri watu wasioe wanatumiaga akili gani
Ngoja nikupe kisa kimoja kifupi tu tena cha ukweli kabisa then utajiongeza kwa muda wako.
Kuna bibi m'moja huko marekani anaye ishi mwenyewe alikuwa akitunza Joka aina ya chatu kama Pet wake.
Alikuwa akililisha,na kukaa nalo tokea likiwa changa hadi limekuwa kubwa size ya kukomaa.
Lile joka lilishamzoea huyo bibi na alikuwa hata muda mwingine akilala linamfuata chumbani na kupanda kitandani na kulala nae tena kwa kujitandaza juu yake.
Mtoto wa huyu mama alishaonyesha kukwazwa sana na uwepo wa hilo joka hapo ndani na alishamuonya mama yake mara kadhaa na kumtaka akalikabidhi hilo joka kwenye taasisi za wanyama pori wakaendelee kulilea yeye atafute pet kama mbwa au paka. Ila yule mama alikuwa king'ang'anizi na kusisitiza kuwa hakuna tatizo kukaa na lile joka ndani mwake.
Siku moja usiku manane akiwa amelala na hilo joka lake alihisi kuongezeka kwa presha ya mbano mwilini akiwa usingizini na kuhisi kukatikiwa pumzi.
Ilibidi kuamka na kujikuta ameviringwa mwili mzima mithiri ya kuvikwa tairi na kuwekwa kati na yule Chatu huku akiendelea kumbana zaidi.
Kwa bahati alikuwa karibu na receiver ya simu akafanikiwa kupiga sim 911 na Kuongea na operator ambaye alituma gari ya Patrol [emoji600] na Ambulance [emoji603] wakaja kumuokoa na kumuwaisha hospital [emoji541].
Sasa lesson unaweza pata hapo. Sometimes they take their time to finish the job.
Sasa endelea kujidanganya........