Joho ni Governor wa Mombasa. Ana hela ndefu sanaJoho ni nani sijakuelewa mkuu
Joho ni Governor wa Mombasa. Ana hela ndefu sanaJoho ni nani sijakuelewa mkuu
Kumbe nimeelewa mkuuJoho ni Governor wa Mombasa. Ana hela ndefu sana
Mimi naonaga mara mia mwanamke wa kiganda..utapiga zako katerero weeeUkweli ambao haujulikani ni kwamba wanawake wengi wa Kenya wanaona fahari kuolewa na watanzania wakidai watanzania wana swagga kuliko wanaume wao wa Kenya,sasa baada ya hapo ndipo unapokuja ule msemo wa mjasiri haachi asili..Kiasili wanawake wa Kenya na wanaume wao ni wachapakazi kuliko watanzania na wanawake wa Kenya wanapenda mwanaume mchakarikaji hili waishi maisha ya kigold digger sasa wale ambao wamejikuta wameingia kwenye mitego ya ndoa na watanzania baadae hujuta na kusema bora wanaume wa Kenya kutokana na uvivu tulionao,Amina alichotegemea kukikuta kwa Ali kiba ni tofauti na mategemeo yake thus why yamemshinda the same kwa Annelisa na Ben paul,Annelisa baada ya kugundua ben paul ni Marioo akaamua kufata asili yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawara hana talaka.Basi huenda alokuwa mchumba itakuwa wanajivinjari na huyo amina. [emoji127]
Kabisaaa dear.Hata mimi Nimeona hapo ikabidi nipige kimya, watized tukio wanafiki mbaya kabisa.
Mkenya hana unafiki na. Kila kitu yupo muwazi hawana kona kona, wao wapo bize na bizness all the time
Duh alikiba so mwenzako shekhee. Ali Ana hela na Ana shida kubwakubwa tuMiaka fulani ya zamani kipindi Alikiba anatamba na Cinderella nilikuwa Moro kwenye majukumu ya Kazi sasa jioni nikawa nimetulia maeneo ya home na washkaji wanakata gambe kuna mwana anaitwa Rama ambaye alikuwa rafiki yangu na shemeji yangu kwa dada yangu fulani akanishtua kwa simu kwamba anataka aje nilipo maana amepata taarifa nipo maeneo ambayo yeye yupo..
Dakika chache tu akafika akiwa na Alikiba na dada yangu katika story story za hapa na pale akanambia Alikiba anamuomba dada yangu awe video queen katika moja ya nyimbo zake ila yeye akakataa nikamwambia sawa uamuzi ni wako kingine ambacho alinambia na ndicho kinanifanya niandike comment hii eti akanambia anajaribu kumzururisha Alikiba na kumpa michongo ya hapa na pale kwa sababu jamaa akiwa kwao anashinda ndani kutwa nzima anaweza asionekane nje hata wiki kila akimoigia simu yupo ndani tu ndio akamwambia basi njoo Moro angalau tupeane kampani moja mbili ndio akaja..
Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996!
Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh alikiba so mwenzako shekhee. Ali Ana hela na Ana shida kubwakubwa tu
Au sio mkuu happo ndo umecheka au unalia kwa hiyo emoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaomba na talaka irushwe live,nilikutana na dada mmoja ughaibuni anarubuniwa aletewe mume wa kitanzania na watanzia wahuko nikamuambia unaleta matatizo wanaume wa kitanzania wanawezana na dada zao wakitanzania wewe mgeni utakufa bureHawa harusi yao si ndiyo ilirushwa live
Ova
Huyo anayemuita Ali mvivu muulize yeye ana sh ngapi benki au ana miradi kiasi ganiNimeona humu Eti watu wanajifanya kumjua Ali kiba eti alikiba mvivu.Mtu anaendelea kufanya vizuri kwenye muzic anatoa hit songs,album imehit bado mnadai eti ni mvivu wabongo bwana.
HahahahaTunaomba na talaka irushwe live,nilikutana na dada mmoja ughaibuni anarubuniwa aletewe mume wa kitanzania na watanzia wahuko nikamuambia unaleta matatizo wanaume wa kitanzania wanawezana na dada zao wakitanzania wewe mgeni utakufa bure
Duh Tembo kaoa? Ngoja nirudi mjini aisee.Kiba aliingia kichwa kichwa,ajifunze kwa mond,jamaa habari za kuoa anazikwepa kwa ajili ya mambo kama hayo ya kugawana mali,hii inaweza kumtokea hata harmonize kwenye ile ndoa yake,dogo ajiandae kupigwa na kitu kizito cha utosi na yule dada wa kitaliano
Nani kakuambia ni haramu? Benki nyingi huku Kenya Zina shariat banking
Na hii yako ni chai vile vile.Mawili hii ni chai na umeamua kutetea kambi au ni ukweli ila haujui kifuatacho ITV.
Ngoja nikupe kisa kimoja kifupi tu tena cha ukweli kabisa then utajiongeza kwa muda wako.
Kuna bibi m'moja huko marekani anaye ishi mwenyewe alikuwa akitunza Joka aina ya chatu kama Pet wake.
Alikuwa akililisha,na kukaa nalo tokea likiwa changa hadi limekuwa kubwa size ya kukomaa.
Lile joka lilishamzoea huyo bibi na alikuwa hata muda mwingine akilala linamfuata chumbani na kupanda kitandani na kulala nae tena kwa kujitandaza juu yake.
Mtoto wa huyu mama alishaonyesha kukwazwa sana na uwepo wa hilo joka hapo ndani na alishamuonya mama yake mara kadhaa na kumtaka akalikabidhi hilo joka kwenye taasisi za wanyama pori wakaendelee kulilea yeye atafute pet kama mbwa au paka. Ila yule mama alikuwa king'ang'anizi na kusisitiza kuwa hakuna tatizo kukaa na lile joka ndani mwake.
Siku moja usiku manane akiwa amelala na hilo joka lake alihisi kuongezeka kwa presha ya mbano mwilini akiwa usingizini na kuhisi kukatikiwa pumzi.
Ilibidi kuamka na kujikuta ameviringwa mwili mzima mithiri ya kuvikwa tairi na kuwekwa kati na yule Chatu huku akiendelea kumbana zaidi.
Kwa bahati alikuwa karibu na receiver ya simu akafanikiwa kupiga sim 911 na Kuongea na operator ambaye alituma gari ya Patrol [emoji600] na Ambulance [emoji603] wakaja kumuokoa na kumuwaisha hospital [emoji541].
Sasa lesson unaweza pata hapo. Sometimes they take their time to finish the job.
Sasa endelea kujidanganya........
Una Mambo mengi sana bado unahitaji kujifunza.Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996!
Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
Sawa sikatai mengi siyajui,lakini mengi nayajua pia hakuna binadamu mkamilifuUna Mambo mengi sana bado unahitaji kujifunza.