Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Una namba za bi Zuchu 😎😎Mambo ya utu na utulivu yameshindwa kumtuliza Bi.Amina?
Ally Kiba na mashauzi ataweza kukaa na mke gani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una namba za bi Zuchu 😎😎Mambo ya utu na utulivu yameshindwa kumtuliza Bi.Amina?
Ally Kiba na mashauzi ataweza kukaa na mke gani sasa?
Ukweli ambao haujulikani ni kwamba wanawake wengi wa Kenya wanaona fahari kuolewa na watanzania wakidai watanzania wana swagga kuliko wanaume wao wa Kenya,sasa baada ya hapo ndipo unapokuja ule msemo wa mjasiri haachi asili..Kiasili wanawake wa Kenya na wanaume wao ni wachapakazi kuliko watanzania na wanawake wa Kenya wanapenda mwanaume mchakarikaji hili waishi maisha ya kigold digger sasa wale ambao wamejikuta wameingia kwenye mitego ya ndoa na watanzania baadae hujuta na kusema bora wanaume wa Kenya kutokana na uvivu tulionao,Amina alichotegemea kukikuta kwa Ali kiba ni tofauti na mategemeo yake thus why yamemshinda the same kwa Annelisa na Ben paul,Annelisa baada ya kugundua ben paul ni Marioo akaamua kufata asili yake
Miaka fulani ya zamani kipindi Alikiba anatamba na Cinderella nilikuwa Moro kwenye majukumu ya Kazi sasa jioni nikawa nimetulia maeneo ya home na washkaji wanakata gambe kuna mwana anaitwa Rama ambaye alikuwa rafiki yangu na shemeji yangu kwa dada yangu fulani akanishtua kwa simu kwamba anataka aje nilipo maana amepata taarifa nipo maeneo ambayo yeye yupo..Umefanya nicheke, Ali kiba sio mchakarikaji?
Turudi mkuu kwenye magoli vipi kiuchumi umemzidi?.....kwa sababu hata masomoni enzi zile kuna watu walikuwa wanakesha darasani lakini leo hii hawana ramani and vice versaMiaka fulani ya zamani kipindi Alikiba anatamba na Cinderella nilikuwa Moro kwenye majukumu ya Kazi sasa jioni nikawa nimetulia maeneo ya home na washkaji wanakata gambe kuna mwana anaitwa Rama ambaye alikuwa rafiki yangu na shemeji yangu kwa dada yangu fulani akanshtua kwa simu kwamba anataka aje nilipo maana amepata taarifa nipo maeneo ambayo yeye yupo..dakika chache tu akafika akiwa na Alikiba na dada yangu katika story story za hapa na pale akanambia Alikiba anamuomba dada yangu awe video queen katika moja ya nyimbo zake ila yeye akakataa nikamwambia sawa uamuzi ni wako kingine ambacho alinambia na ndicho kinanifanya niandike comment hii eti akanambia anajaribu kumzururisha Alikiba na kumpa michongo ya hapa na pale kwa sababu jamaa akiwa kwao anashinda ndani kutwa nzima anaweza asionekane nje hata wiki kila akimoigia simu yupo ndani tu ndio akamwambia basi njoo Moro angalau tupeane kampani moja mbili ndio akaja..Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996! Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
Dah kwenye kiuchumi sijui kwakweli maana jamaa hapendi show off zaidi ya kujua tu ile nyumba yake ya Tabata sijui mali zake nyingne kwa kweli huenda anazo nying zaid ya zile au lah!! Ila jengo kama lake lile la TABATA mimi nilianza kuwa nalo nikiwa mwaka wa pili chuo(lakini la urithi)Turudi mkuu kwenye magoli vipi kiuchumi umemzidi?.....kwa sababu hata masomoni enzi zile kuna watu walikuwa wanakesha darasani lakini leo hii hawana ramani and vice versa
Sure, yule kaka sura yake inaongea yoteMambo ya utu na utulivu yameshindwa kumtuliza Bi.Amina?
Ally Kiba na mashauzi ataweza kukaa na mke gani sasa?
Mkuu Acha hizo mambo,asilimia kubwa ya uchumi wa kenya wanawake ndo wanamiliki, wanawake wa kule ni fighter sijawahi ona.wanawake wa Kenya wanapenda mwanaume mchakarikaji hili waishi maisha ya kigold digger sasa wale ambao wamejikuta
AliKiba ni mvivu!!!?Ukweli ambao haujulikani ni kwamba wanawake wengi wa Kenya wanaona fahari kuolewa na watanzania wakidai watanzania wana swagga kuliko wanaume wao wa Kenya,sasa baada ya hapo ndipo unapokuja ule msemo wa mjasiri haachi asili..Kiasili wanawake wa Kenya na wanaume wao ni wachapakazi kuliko watanzania na wanawake wa Kenya wanapenda mwanaume mchakarikaji hili waishi maisha ya kigold digger sasa wale ambao wamejikuta wameingia kwenye mitego ya ndoa na watanzania baadae hujuta na kusema bora wanaume wa Kenya kutokana na uvivu tulionao,Amina alichotegemea kukikuta kwa Ali kiba ni tofauti na mategemeo yake thus why yamemshinda the same kwa Annelisa na Ben paul,Annelisa baada ya kugundua ben paul ni Marioo akaamua kufata asili yake
Kwa hiyo wewe unasuport warembo waolewe kutoa gundu pata watoto alafu ishi maisha ukiwa free....aisee bora tugegedane tuuMaamuz sahihi
Kwa hili gazeti Aibu naona mimi,Miaka fulani ya zamani kipindi Alikiba anatamba na Cinderella nilikuwa Moro kwenye majukumu ya Kazi sasa jioni nikawa nimetulia maeneo ya home na washkaji wanakata gambe kuna mwana anaitwa Rama ambaye alikuwa rafiki yangu na shemeji yangu kwa dada yangu fulani akanshtua kwa simu kwamba anataka aje nilipo maana amepata taarifa nipo maeneo ambayo yeye yupo..dakika chache tu akafika akiwa na Alikiba na dada yangu katika story story za hapa na pale akanambia Alikiba anamuomba dada yangu awe video queen katika moja ya nyimbo zake ila yeye akakataa nikamwambia sawa uamuzi ni wako kingine ambacho alinambia na ndicho kinanifanya niandike comment hii eti akanambia anajaribu kumzururisha Alikiba na kumpa michongo ya hapa na pale kwa sababu jamaa akiwa kwao anashinda ndani kutwa nzima anaweza asionekane nje hata wiki kila akimoigia simu yupo ndani tu ndio akamwambia basi njoo Moro angalau tupeane kampani moja mbili ndio akaja..Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996! Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
Kabisaaa, ukiona mtu humuelewi bora. Kupita na. MiaMaamuz sahihi
Yes ndicho nilichokiongelea wanawake wa kule wana sense ya upambanaji sasa wakikutana na mtu ambaye ni mvivu hawawezi kuishi pamojaMkuu Acha hizo mambo,asilimia kubwa ya uchumi wa kenya wanawake ndo wanamiliki, wanawake wa kule ni fighter sijawahi ona.
Kuhusu mambo ya gold digger ni worldwide hata state wanawake na wanaume wanapenda mtu mwenye pesa zake,
Hapendwi mtu anapendwa pesa
Kutokana na upambanaji wao wanaona kero kuishi na mwanaume, wengi nawaonaga single tu paleYes ndicho nilichokiongelea wanawake wa kule wana sense ya upambanaji sasa wakikutana na mtu ambaye ni mvivu hawawezi kuishi pamoja
Lakini mbona Mombasa ni kama sehemu nyingine za pwani za Tanzania tu!!?? Ina maana wanawake wa huko hawana utamaduni wa kuolewa tu na kukaa nyumbani kama wanawake wengine wa pwani!!? Au wote ni walewale tuKutokana na upambanaji wao wanaona kero kuishi na mwanaume, wengi nawaonaga single tu pale
Kabisa mkuu. Wakenya sio kabisa. Na ndio maana huyo anaomba taraka ili wapasuaneNdoa ni mtihani kwote kwote ila usije ukajidanganya kuoa Mkenya hata siku moja wengi wako after material gains, akivikosa lazma aombe divorce kugawana viliopo
Mombasa sijawahi enda pale ila Nairobi ndo naielewa kidogo, unakuta mdada yupo single anasafirisha kontena la vinyago USA, etc wabongo wachache tunaweza hivyo.Lakini mbona Mombasa ni kama sehemu nyingine za pwani za Tanzania tu!!?? Ina maana wanawake wa huko hawana utamaduni wa kuolewa tu na kukaa nyumbani kama wanawake wengine wa pwani!!? Au wote ni walewale tu
Watanzania tutasimama na Alikiba kamkuta kijana wa watu kashapiga hatua ya maisha kwa kiasi fulani atalipwa fidia kidgo tu lakini asitake mgawanyo wa mali nusu kwa nusu tutamroga na uchawi wa kigoma,hizi trick zao wanazotumia hazina tofaut na wanawake wa south wanaolewa miaka michache wanaomba talaka hili mgawane maliKabisa mkuu. Wakenya sio kabisa. Na ndio maana huyo anaomba taraka ili wapasuane
Kweli kabisa kuna wanawake wengine wa kikenya wanafika mpaka huku Tanzania,Iringa kubeba shehena za roli la mbao na wengi wao kama unavyosema ni single by marriage status au single mama..Ukitaka kusadifu hilo angalia investments za Celebrities wa kike wa kenya Kina Akothee na huddah halafu angalia na wa kwetu kina Uwoya wanavyotapanya pesa massively bila investment ya maanaMombasa sijawahi enda pale ila Nairobi ndo naielewa kidogo, unakuta mdada yupo single anasafirisha kontena la vinyago USA, etc wabongo wachache tunaweza hivyo.
Ukiwapa oda ya chochote unapata quality na ndani ya time kama ulivoagiza