Ndoa ya binti wa TB Joshua yafungwa Arusha, tarehe 08/05/20202

Wale wanaweza wasiachane maana wamepigana makomeo ya kisheria mara ya kilokole mala ya ki katoliki makomeo ma 3 wakiyavunja bac wote ni makanjanja
Hainaga formula hiyo
 
NDOA YA BINTI WA TB JOSHUA BONGO _ Kumbukumbu zinasema hii ndio ndoa ya kwanza ya aina yake kufungwa katika jiji la Arusha, ambayo ni ndoa ya mseto baina ya kijana wa kitanzania, Brian Moshi na Mtoto wa Nabii, TB Joshua wa Nigeria , Serah Joshua. Maharusi hawa walifunga ndoa hii jana katika Kanisa Katoliki la Moyo Safi Mama Bikiria Maria lililopo eneo la Unga Ltd jijini Arusha na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika moja ya kumbi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Ndoa hii imekuwa ya tatu kufungwa na maharusi hawa, kwani awali walifunga ndoa ya kwanza nchini Nigeria katika Kanisa la Pentekoste na baadaye ndoa nyingine Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) na sasa wamefunga ndoa nyingine jijini Arusha katika Kanisa Katoliki. Padri Festus Mangwangi ndiye ambaye amefungisha ndoa hiyo, anasema sio ndoa ya ajabu ni ndoa mseto ambayo baada ya kufungwa kila mmoja anabaki na dini yake, lakini watoto watakuwa waumini wa Kanisa Katoliki. Anasema kabla ya ndoa hiyo kufungwa, maharusi walisaini makubaliano hayo na baadaye kupata baraka za Kanisa Katoliki. Anasema awali zilifungwa ndoa mbili katika nchi mbili tofauti, ndoa ya kiserikali na ndoa ya taratibu za Kanisa la Pentekoste ambayo bibi harusi amekuwa akiabudu. Hata hivyo, Padri Mangwangi anasema bwana harusi, Brayan ni mkatoliki, aliona ni muhimu kufuata taratibu za kikatoliki na ndipo alikuja nchini na kuomba kufungwa ndoa tena baada ya pande zote kukubaliana.
 
Kama salio halisomi huezi kukubaliwa utachagua 1 tu catholic or government haina mara 3 hiyo!
 
Mtoto wa Joshua kachukua Sura ya baba yake.

Kuna tangazo la kipindi cha Mazungumzo ya ndoa linarushwa StarTV kwenye ile promo kuna vibinti vizuri vizuri(Kile kilichosema mwanamme kujichubua) na pia kuna Jamaa alitoa neno kama la kuchekesha hivi kwamba mshenga awe na muonekano mzuri hadi ukumuangalia usipate na wasiwasi,sasa yule jamaa kumbe ndio aliyefungisha hiyo Ndoa.

Paroko Unga Limited Festus Mangwangi - Parokia ya Moyo safi wa Bikira maria - Unga Limited

FM.jpg
 
Back
Top Bottom