Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo. Au mume ya mutu?
Pofu limekutoka ha ha haKafichiwa uvunguni mwa kitanda yako?
Ulizia harusi pita rudi kusoma majibu. Kama una mume wa mtu ndio kila mtu?
Pofu limekutoka ha ha ha
Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo. Au mume ya mutu?
Anaolewa na brother men Deo masawe mwanaume wa grace muro .Deo na Grace on and off on and off.Grace kaolewa na tycoon m Nigeria .Brother men huyoooo uwiiii .Aliachwa na grace kwa Sababu alikuwa cheap .Grace high maintenance mzuriiii grace mweupeee.Nitawatushia picha ya grace .
Hongera flavy mwanaume handsome sana kuzidi uzuri wa mkewe. Mungu awatangulie kwenye maisha yenu mapya.Hongera Flavy
Hongera flavy mwanaume handsome sana kuzidi uzuri wa mkewe. Mungu awatangulie kwenye maisha yenu mapya.
Mungu awape uvumilivu hakuna ndoa isiyo na changamoto zisizotokea.Na kweli tusije sikia baada ya mwaka wametengana
Mm nawaombea maisha ya amani na upendo na uvumilivu
Hongera flavy mwanaume handsome sana kuzidi uzuri wa mkewe.
Kwanini huwaelewi deo kiboko ya nini hebu fungukaMimi wanaume siwaelewagi na sitowaelewa.Deo kiboko congratulations hahahahaha.Kweli NDOA waingiao ni wapofu wakianza kuona wanagundua mengi .Dah shocking
[emoji2] [emoji2] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Aiseee...