Ndoa ya Flaviana Matata

Ndoa ya Flaviana Matata

lily

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
229
Reaction score
27
Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo.. Au mume ya mutu?

========

Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe.

Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015 katika kanisa la St.Joseph ikafuatiwa na sherehe iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam.

flavy-1.jpgflavy-2.jpg
 
Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo. Au mume ya mutu?

Anaolewa na brother men Deo masawe mwanaume wa grace muro .Deo na Grace on and off on and off.Grace kaolewa na tycoon m Nigeria .Brother men huyoooo uwiiii .Aliachwa na grace kwa Sababu alikuwa cheap .Grace high maintenance mzuriiii grace mweupeee.Nitawatushia picha ya grace .
 
Wacha wee, shemeji anapiga mishe gani?
Sasa hapo ulipotilia msisitizo kuwa Grace mzuriii, mweupeee akina cheusi dawa imetugusa.
 
wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki..............wanaangaikaa nimeikumbuka hii nyimbo sijui nani wale walioimba
 
Mimi wanaume siwaelewagi na sitowaelewa.Deo kiboko congratulations hahahahaha.Kweli NDOA waingiao ni wapofu wakianza kuona wanagundua mengi .Dah shocking
 
Mimi wanaume siwaelewagi na sitowaelewa.Deo kiboko congratulations hahahahaha.Kweli NDOA waingiao ni wapofu wakianza kuona wanagundua mengi .Dah shocking
Kwanini huwaelewi deo kiboko ya nini hebu funguka
 
hongera zake le super mrembo..hiyo low cut imenikosha..ni mwendo wa kuwa naturalista...umependeza mno kila lakher kwenye ndoa yako Mrs Massawe...
 
Attachments

  • 1439663405062.jpg
    1439663405062.jpg
    22.7 KB · Views: 3,298
Back
Top Bottom