Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.
Kila kheri dada flavy
Mkuu umeona yan kuna wanawake wanaroho za kichawi..washaanza umbea
Haahaaa mkuu...malizia tu MANUNGAYEMBE..!!
12 year different ni kijana lol .Deo 1976 flaviana 1988.lol
12 year different ni kijana lol .Deo 1976 flaviana 1988.lol
evecollections ndo mpango mzima...kuanzia yeye na vile vtoto yaan ilikua super..teh wengine wanakimbilia kumimbwaa hehee na ndoa bado hawazioni..mwee tumpe sifa zake bintii matata ndoa bahat..siunaona mama tok show kaangukia pua kwa chief kiumbe...holaaaa😀😀
But he looks young.....,
....yanahangaika..
hongera mamy...!!! all the best kwenye ndoa yako...!!
huu wimbo ulifungiwa. Ulidhalilisha kina mama wasioolewa.
Manungayembe kwani hayapo?
Manungayembe kwani hayapo?
huyu Deo kama hana watoto mpaka leo atakua phala.
Arudi sasa chuo cha ufundi Arusha akafanye supplimentaries zake.